2013
JF-Expert Member
- Aug 2, 2011
- 11,360
- 6,066
Kuna gazeti.linaandikwa "magufuli asema Mimi sio kichaa wala dikteta."
Najiuliza Mkuu, anapata shinikizo gani mpaka anasema hivi.?
Ni nani aliyewahi kumfananisha na dikteta? Au anatoa ujumbe huu kwa akina nani?
Najiuliza tu lakini sijapata majibu. Lakini kuna msemo panapofuka moshi kuna moto, ikiwa na maana labda kuna shinikizo linalompinga anapata kutokana na utendaji wake. Je ni shinikizo.LA nani? Ukichukulia magonjwa ya nchi amerithi kutoka kwa aliyemtangulia ikiwemo sakata LA Zanzibar.
Nadhani ni wakati wa kusonga Mbele...