Kitu gani huwezi tembea bila kuwa nacho mfukoni, kwenye mavazi uliyovaa?

Hayo mengine tunayoyajadili hapa ni bhlah blah tu, ila la huyo mkaanga chapati aliyekueleza:....'kijana handsome namna hiyo unavuta sigara, si uache tu?'..

Alikupatia ushauri mwepesi lakini umebeba ujumbe mzito sana na alitumia jicho la tatu kuona future yako ilivyo hatarini.

Nimezika wazazi wangu wawili wavuta sigara kwa maradhi yenye kufanana yaliyopelekea vifo vyao.

Wakati ninawauguza nilipambana na maswali ya madaktari yenye kufanana pia:..'hivi huyu mzee huwa anavuta sigara?'...

Upo kijana unavuta unasisimka unaona raha, lakini maradhi yatokanayo na moshi wa tumbaku hayawekwi bayana ninadhani kwa sababu za kibiashara!

Tatizo jingine litokanalo na sigara ni uteja wa uraibu upatikanao katika tumbaku, maana hata ninavyokushauri hivi sasa ukashituka na kuamua kuacha utapata tabu sana kujinasua.

Ni suala la uamzi mgumu sana kuacha, nnakushauri amua sasa.
Mbona mi napiga sana hayo makitu na sijawahi pata shida mzee.
Fegi napenda to death
 
angalau elfu 10 ndio natoka

kama sio cash bas iwe kwenye mobile money
 
nyie watu mko awamu ya ngapi kwani,mnatoa wapi hela zakutembea nazo zimekaa tu eti za imejensi?
Sasa man hiyo so elfu3

SISI TULIOKOSA AJIRA NA HATUNA MITAJI TUNAPO ENDA SITE ZA KUSAIDIA FUND AU KUBEBA ZEGE ,LAZIMA MFUKONI NIWE NA BUKU2 AU BUKU3

MAANA NATOKA GHETO SAA KUMU NA MBILI MPK NAPATA SITE MY B SAA2 HAPO HUWEZ PIGA KAZ NGUMU BILA BREAK FAST

NA WALE WA MAMA WANAO UZA SITE MCHANA HUWA WANATAKA CASH MZEE SASA NABEBA NAYALUNCH

JION NASEPA NA TEN YANGU AU ZAID ITADEPEND NA KAZ HUSIKA

ILA MAGU WANASEMA KAPITA KWA KISHINDO APUNGUZE BEI ZA CEMENT BHANA WATU WAMEPUNGUZA KUJENGA sie ma day waker tunahaso huku
 
Hayo mengine tunayoyajadili hapa ni bhlah blah tu, ila la huyo mkaanga chapati aliyekueleza:....'kijana handsome namna hiyo unavuta sigara, si uache tu?'..

Alikupatia ushauri mwepesi lakini umebeba ujumbe mzito sana na alitumia jicho la tatu kuona future yako ilivyo hatarini.

Nimezika wazazi wangu wawili wavuta sigara kwa maradhi yenye kufanana yaliyopelekea vifo vyao.

Wakati ninawauguza nilipambana na maswali ya madaktari yenye kufanana pia:..'hivi huyu mzee huwa anavuta sigara?'...

Upo kijana unavuta unasisimka unaona raha, lakini maradhi yatokanayo na moshi wa tumbaku hayawekwi bayana ninadhani kwa sababu za kibiashara!

Tatizo jingine litokanalo na sigara ni uteja wa uraibu upatikanao katika tumbaku, maana hata ninavyokushauri hivi sasa ukashituka na kuamua kuacha utapata tabu sana kujinasua.

Ni suala la uamzi mgumu sana kuacha, nnakushauri amua sasa.
Hiki sio kilichokuleta kwenye huu uzi mzee
 
Simu, funguo, leso, pesa kidogo hata buk5 chini ya cover ya simu.inategemea naenda wapi.
 
Sasa man hiyo so elfu3

SISI TULIOKOSA AJIRA NA HATUNA MITAJI TUNAPO ENDA SITE ZA KUSAIDIA FUND AU KUBEBA ZEGE ,LAZIMA MFUKONI NIWE NA BUKU2 AU BUKU3

MAANA NATOKA GHETO SAA KUMU NA MBILI MPK NAPATA SITE MY B SAA2 HAPO HUWEZ PIGA KAZ NGUMU BILA BREAK FAST

NA WALE WA MAMA WANAO UZA SITE MCHANA HUWA WANATAKA CASH MZEE SASA NABEBA NAYALUNCH

JION NASEPA NA TEN YANGU AU ZAID ITADEPEND NA KAZ HUSIKA

ILA MAGU WANASEMA KAPITA KWA KISHINDO APUNGUZE BEI ZA CEMENT BHANA WATU WAMEPUNGUZA KUJENGA sie ma day waker tunahaso huku
ukikosa hiyo buku 3 au buku mbili huwa hutoki home hiyo siku?
 
Back
Top Bottom