Kitu gani huwezi tembea bila kuwa nacho mfukoni, kwenye mavazi uliyovaa?

mfano wa kisu unachotembea nacho,unaweza tuonyesha picha mkuuu maana najua unacho hapo ulipo
Oooo....

Mkuu ninatembea na KISU kirefu Cha kukunja....
Picha hapana SITOIRUSHA HAPA mkuu Wangu....

Kwetu nilifundishwa niwe mpole na mnyenyekevu ila nijue ya kwamba wako WANAHARAMU wa tabia wasiojali lolote....

Usalama wangu unaanzia KWANGU binafsi...Halafu ndiyo hayo maneno ya POLISI.....

SIBADILIKI eti kwa sababu NIMEELIMIKA KISEKULA....
Vitoto vyangu NINAVIFUNDISHA HIVIHIVI.....
 
Back
Top Bottom