Kitu gani cha kijinga uliwahi kufanya ulipozama kwenye mapenzi?

Chibudee

JF-Expert Member
Dec 28, 2016
1,775
2,397
Ujinga wangu ulikuwa "KUMUAMINI MAZIMA".
Nilijutia mnoo

Nambie wako
nafeeltz-20200303-0004.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilimpenda halafu nikawa Sina hela! plus kibamia plus jua ambalo linajua kuwa hauna hela linakuchoma kichwani mpk shingoni tu! Tena ukiwa unatembea unasikia sauti ya kiroho toka kwenye jua likikuambia "tafuta hela nitakuuwa kenge wewe"

Ulishawahi kukutana na jua la namna hiyo..?
 
Hela Hukuwa Nayo Na Kibamia Juu

Kweli Wewe Ng'ombe wamasikini huwezi Kufurahi hadi utage Yai

Ndio wale mkizeeeka Nywele zinakudharau zinaota hadi mipuani Masikioni mradi ukose hewa ujifie tu
Hahahah"'
Nilimpenda halafu nikawa Sina hela! plus kibamia plus jua ambalo linajua kuwa hauna hela linakuchoma kichwani mpk shingoni tu! Tena ukiwa unatembea unasikia sauti ya kiroho toka kwenye jua likikuambia "tafuta hela nitakuwa kenge wewe"

Ulishawahi kukutana na jua la namna hiyo..?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hela Hukuwa Nayo Na Kibamia Juu

Kweli Wewe Ng'ombe wamasikini huwezi Kufurahi hadi utage Yai

Ndio wale mkizeeeka Nywele zinakudharau zinaota hadi mipuani Masikioni mradi ukose hewa ujifie tu
Hahahah"'

Sent using Jamii Forums mobile app
Ha ha
Halafu haya sindo yanakuwaga Yale matatizo ukipelekwa hospitali ugonjwa hauonekani ila unaumwa ile mbaya😂
Hapo hata shetani hukaa pembeni viungo vyako mwenyewe vikushuhulikie!! Muda mwengine shetani huwa hapendi kuingilia ugomvi wa mtu na vitu vyake😂😂
 
Miaka kdhaaa nyuma uko nilipokua kidato cha Tatu.

Kuna SAA LA Ukutani Mzee alitoka nalo uko kwa wabudha (ilikua nzuri sana ,maana kila mgeni aloingia sebuleni hakua acha kuuliza iliponunuliwa ).

Nililibeba nikaenda kumpa Demu wangu ..Demu naye sijui aliuza .
Alafu tukaja KUACHANA iyoiyo cha tatu.

Sema sitosahau zile bakora nilizopewa!!
 
duh uli fall mzee baba hadi maakiba ya home unahonga
Miaka kdhaaa nyuma uko nilipokua kidato cha Tatu.

Kuna SAA LA Ukutani Mzee alitoka nalo uko kwa wabudha (ilikua nzuri sana ,maana kila mgeni aloingia sebuleni hakua acha kuuliza iliponunuliwa ).

Nililibeba nikaenda kumpa Demu wangu ..Demu naye sijui aliuza .
Alafu tukaja KUACHANA iyoiyo cha tatu.

Sema sitosahau zile bakora nilizopewa!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumruhusu man angu auze pc kipindi npo chuo tena nikiwa na uhitaji nayo sana..alikua muhunimuhuni bangi pia so mzee wake akagoma kulipa ada basi ktk kuhangaika akaniomba aiuze nikamruhusu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom