Kitu gani au tabia gani unapenda sana,wakati hakina mantiki kivile....!?

Tugutuke

JF-Expert Member
Apr 21, 2011
501
165
Dunia ina Mambo kweli.. Ushawahi kujiuliza ni kwa nini unapenda kitu au tabia fulani na wakati havina maana kivile?? Na je huwa hali hiyo inasababishwa na nini?
Mfano,mimi napenda sana,nikiwa saloon kunyoa,basi kinyozi achelewe kumaliza. Nikiwa nanyolewa salon najisikia raha,pili napenda sana harufu ya moshi wa gari au piki piki,tatu mimi napenda sana kunya nikiwa uchi wa mnyama,sio kuvua boxer na suruali vikaishia magotini,nikikata gogo huku sina nguo hata moja najisikia burudaaaani sana.
Ehe,, na wewe vipi mwana Jf.?
 
. Kukata gogo huku nikiwa nasomasoma thread humu JF
. Kuimba nikiwa naoga
 
Kuweka muziki na kuufatilizia mwenyewe kwa mdomo tena kwa sauti kubwa.Yani nisipoufatilizia mwenyewe naona kama radio haina sauti hvi!
 
aisee ukate gogo huku uko uchi wa ngozi
hivi lets say ikatokea hatari ya ghafli huko toy
inayokutaka utoke mbio za ajabu si
utageuka kivutio?maana gogo litakuwepo bado af
hapo mbele looooh ngoja nikuvutie hisia utakavyokuwa
 
Back
Top Bottom