Kitu gani ambacho huwezi kumfanyia mpenzi wako ?

Zero Competition

JF-Expert Member
Sep 12, 2018
310
451
Heshima kwenu wakubwa na wadogo

Ni kitu gani ambacho hutoweza kumfanyia mpenzi wako hata kama kipo ndani ya uwezo wako ?

Binafsi siwezi kumsomesha mpenzi wangu hata kama hilo suala lipo ndani ya uwezo wangu sababu nawajua hawa viumbe kwa kubadirika badirika, bora nimpe mtaji wa biashara kuliko nimsomeshe.

Kwako mdau hii imekaaje, karibu utuambie ni kitu gani ambacho huwezi kumfanyia mpenzi wako.
 
kulamba tigo yake
 
Back
Top Bottom