kitu cha TAZARA

englibertm

JF-Expert Member
May 1, 2009
9,252
6,207
10329234_253487321502958_3959704960620094429_n.jpg
 
Ooyooo penye miti hakuna wajenzi ni migomo na magofu wala hatuna uchungu nayo na laiti ingekuwa bado mikononi mwa machina naona ingekuwa mbali sana na hata hao machina wanasikitika kwa kufilisika na yote haya ni usultani wa kisiasa tu na umangi wa kwenye korido
 
Bila uongozi wa kimagumashi wa MAGAMBA nchi hii tungekuwa mbali sana, yaani inatia hasira sana kuendelea kuwapa nafasi hawa walafi!
 
nifuteni machozi jamani, mwazo wa reli hadi mwisho wake ilikuwa raha tupu, ila nyama za SARANDA SIJUI ILIKUWA NI KUKU AU MWEWE MAANA HAZIISHI KILA SIKU ZIPO TUUU ACHA BWANA!!!!!!!!!

Saranda si ni reli ya kati,Tazara hakuna nyama za Saranda
 
Unalazimisha Eeeeh!! hahahaaaaaa!!

isiwe tabu vile vile chuikueni reli yenu maana yetu mmeshaiua poa tuuuuuuuuu.
miaka ile ya 70 , tulifurahia honi ya mjerumani, zikaja zile class 88, 90 acha bwana mwanzo mwisho ni kuchungulia dirishani tu hasa kwenye kona
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom