englibertm
JF-Expert Member
- May 1, 2009
- 9,252
- 6,207
nifuteni machozi jamani, mwazo wa reli hadi mwisho wake ilikuwa raha tupu, ila nyama za SARANDA SIJUI ILIKUWA NI KUKU AU MWEWE MAANA HAZIISHI KILA SIKU ZIPO TUUU ACHA BWANA!!!!!!!!!
saranda si ni reli ya kati,tazara hakuna nyama za saranda
Unalazimisha Eeeeh!! hahahaaaaaa!!reli ni reli tuu, maana imenikumbusha reli ya kati miaka ileee
Unalazimisha Eeeeh!! hahahaaaaaa!!