kitu cha BOOM hichoooooooo------UDSM

Nelly Emma

Member
Aug 16, 2012
10
2
hATIMAYE KITU CHA BOOOM CHA INGIA JANA KWA WANAFUNZI WA UDSM..TAKRIBANI SIKU KAMA 14 HIVI HASA KWA WALE WANAOKAA HALL 5 WAMEKUWA WAKILALAMIKA NJAA KWA KUPIGA MAKELELE USIKU......HAHAHAHAH
HIYO FURAHA KWENU

MSISAHAU KUSOMA LAKIINI KWANI KWA LEO TU NIMESHAANZA KUONA MSHIKEMSHIKE:israel:
 
hahah vijana bwana!!! haya mkanunue sub woofer,i-phone,black berry.....
 
Mimi jana nilikesha Zambezi bar na malaya wa pale. Kwa kweli nililewa mpaka nikakata network!
 
Mimi jana nilikesha Zambezi bar na malaya wa pale. Kwa kweli nililewa mpaka nikakata network!
kweli wewe ndo KICHWANI ZERO..na sio zero tu ni empty set yaani hewa au vacuum! mawazo mgando...na kama wewe ni mwanafunzi basi ni JANGA LA ELIMU!!
 
Last edited by a moderator:
Haya bhana madogo, taratibu tu msije kesho yake kuuawa na kuanza tena subiria bum jingineeeee....
 
kweli wewe ndo KICHWANI ZERO..na sio zero tu ni empty set yaani hewa au vacuum! mawazo mgando...na kama wewe ni mwanafunzi basi ni JANGA LA ELIMU!!
Kwa GPA hunipiti na kwenye starehe pia mimi ni kiboko yao. Nakamua madem na book kwa pamoja.
 
Last edited by a moderator:
hamna lolote weweeee lordvile bado mwaka wa kwanza hajafanya hata ue moja! Na pia wewe kichwani ni 0% 0% 0% 0%
Sasa hivi nipo kwenye baa ya ABC hapa Mabibo Hostel nakunywa safari baridi kwa kwenda mbele. Mimi ni gifted kwenye masomo, madem na pombe. Huniwezi
 
ngoja niwaache mgombane mimi niende udasa bar nikapate tuskar baridi na maprof
 
Sasa hivi nipo kwenye baa ya ABC hapa Mabibo Hostel nakunywa safari baridi kwa kwenda mbele. Mimi ni gifted kwenye masomo, madem na pombe. Huniwezi
0 0 0 0 0 0 0 0 0 0 0 0 0 0 0 0 0 0 0 0 0 0 0 0 0 0 0 0 0 0 0 0 0 0 0 0 0 0 0
 
Sasa hivi nipo kwenye baa ya ABC hapa Mabibo Hostel nakunywa safari baridi kwa kwenda mbele. Mimi ni gifted kwenye masomo, madem na pombe. Huniwezi
0 0 0 0 0 0 0 0 0 0 0 0 0 0 0 0 0 0 0 0 0 0 0 0 0 0 0 0 0 0 0 0 0 0 0 0 0 0 0 0 0 0
 
Hhahahahaaaaa, SUA ndo wamesain leo halafu wameanza kukopa creti za bia, ELIMU YA JUU HIYO!:becky:
 
Hhahahahaaaaa, SUA ndo wamesain leo halafu wameanza kukopa creti za bia, ELIMU YA JUU HIYO!:becky:

EEEEEEH JAMANI HUU ULEVI KWA AJILI YA 450,000/= ZA HEsLB BORA MIMI NILIYE NUNUA MBUZII WANGU MAJIKE MANNE
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom