Kitu cha ajabu ulichokuta kwa rafiki/jamaa!

Kila nikienda ghettoni kwa demu wangu nakuta matango mawili kwenye friji....miezi nenda miezi rudi hayapungui idadi Sasa huwa najiuliza aliyanunua ya kazi gani Kama siku zote hizo hayali?? And Inshort kwa ninavyomfahamu demu wangu sio mpenzi wa matunda hata
Wasaidizi wako hao mkuu
 
Nilipowatembelea baadhi ya marafiki zangu kuna vitu vya ajabu nimekutana nazo. Vitu hivi vinachekesha na vingine vinaogofya ama kutisha.

Kuna mmoja nilikuta geto yake ana kitanda cha hospital

Jemba mwingine nilikuta glass 20 za baa geto kwake.

Hebu share nawe ulichokuta kwa rafiki yako ambayo ni amazing, wonderful and inspiring.
Huu ni umbea
 
jamaa nilimkuta na chupi ya demu getto na nafahamu kabisa hana demu ikabidi nimbane ndio akasema kwamba ameiiba bafuni (anaishi nyumba ya kupanga na kuna wanawake) hivo basi huwa anaitumia kwenye shughuli pendwa za kile chama cha chaputa
Ni demu wako uyo mshikaji au?
 
Nilienda kwa mwanangu mmja
Nikakuta biblia agano jipya 9
Na agano la kale 12

Wala sikutaka kuuliza za nani!!
 
jamaa nilimkuta na chupi ya demu getto na nafahamu kabisa hana demu ikabidi nimbane ndio akasema kwamba ameiiba bafuni (anaishi nyumba ya kupanga na kuna wanawake) hivo basi huwa anaitumia kwenye shughuli pendwa za kile chama cha chaputa
Daaaah nmechekaa
 
kuna jamaa mwingine tumejuana ukubwani kwao makao makuu yeye anafuga fisi
na sijui ni wanini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom