Kitu ambacho CCM haitaki ujue, lakini leo nitakujulisha!

I have always raised "wordiness" as an issue with Mwanakijiji.Economy of words is an area that needs improvement, otherwise you will lose a lot of readers.

Pundit, this is one of the few things I'm not worried about. Mtu ambaye hawezi kusoma vitu kwa sababu ni "virefu" sina jinsi ya kumsaidia kwa kweli. Hicho mnachosoma ni version fupi sasa nikianza kuandika kwa kirefu si itakuwa kazi.

It is not necessarily due to readers lazyness some people can get through the length of Tolstoy's "War and Peace" and Gibbons "The Decline and Fall of Rome" not to mention the history of having gone through the entire bible forward and backwards by age 10, so some can read when they want to.

But one has to make a choice between a lot of reading, the complete works of Shakespeare, WSJ,NYT, The Nation, The Economist, Columbia Journalism Review, US News and World Report, Newsweek, Time, IPPMedia, Mwanakijiji.com you get the idea. And the choice must be justified, and I find some of your posts to be unjustifiably long.

I'll try to justify it whenever I can.

The challenge is, to say the most using the least amount of the most effective words.

point well taken. Thank you (part of it is your fault! LOL)
 
Vema kabisa,

Mwenyewe nilipoiona nika-scroll kwenda chini nikaona ndefu nikaahirisha kuisoma, nilipokaa na kutafakari nikaona sina tofauti na jamaa anayesaini mikataba bila kuangalia content ndani yake (recall Buzwagi), nikarejea na kuisoma. Imeandikwa vema lakini kama alivyodokeza SteveD basi jaribu kupunguza urefu wake kwani sisi (watanzania) japo twaongea kwa kirefu lakini kusoma twataka kwa kifupi.

:)

asante sana, nadhani jibu langu kwa Pundit will apply here. Ushauri wangu kwa wale wanaopenda kusoma kwa ufupi, usisome makala zangu kwani naziandika kwa urefu ambao ndio ufupisho niliouweza. Nadhani kuna makala nyingi zinaandikwa kwa kifupi na ninawaunga mkono wanaofanya hivyo. Nitajitahidi zaidi katika kuboresha mtiririko wa mawazo, mpangilio wa maneno na kuhariri vizuri zaidi.

Mara nyingi (isomeke zote) huwa sirudii kusoma nilichoandika mimi mwenyewe na kufanyia uhariri. I'll definitely improve in that which might shorten articles to the delight of some.
 
I have always raised "wordiness" as an issue with Mwanakijiji.Economy of words is an area that needs improvement, otherwise you will lose a lot of readers.

It is not necessarily due to readers lazyness some people can get through the length of Tolstoy's "War and Peace" and Gibbons "The Decline and Fall of Rome" not to mention the history of having gone through the entire bible forward and backwards by age 10, so some can read when they want to.

But one has to make a choice between a lot of reading, the complete works of Shakespeare, WSJ,NYT, The Nation, The Economist, Columbia Journalism Review, US News and World Report, Newsweek, Time, IPPMedia, Mwanakijiji.com you get the idea. And the choice must be justified, and I find some of your posts to be unjustifiably long.

The challenge is, to say the most using the least amount of the most effective words.

I am the one who is supposed to complain about this, not you! Unless you were complaining on my behalf....
 
Mara nyingi (isomeke zote) huwa sirudii kusoma nilichoandika mimi mwenyewe na kufanyia uhariri. .

Kosa kubwa sana. Makosa madogo madogo na pia repeatitions ni rahisi sana kuyagundua kama utadare kusoma ulichokiandika hata mara mbili kabla hujampa mtu mwingine asome.
 
Waheshimiwa mnanipoteza hapa kabisa......badala ya kujadili CONTENTS tunajadili ''Quality ya uandishi'' naomba tuache kupoteza mwelekeo wa thread hii! Kama mnataka kuchallenge length na punctuations za articles za mkjj, anzisha thread nyingine....sio kuchanganya tu mambo hapa!

To me it does't matter kama article ni ndefu a laa, what matters ni contents zake.....!

Hii article ya mkjj ina contents nzuri, sijui mlitaka afupishe vipi hapo!
 
We acha tu.... (some) people will always try to find faults in anything and everything...and guess what...that's the easiest thing to do. Ukiwauliza kwa nini wao hawakuandika makala zao zenye hoja zao watakwambia sio kazi yao.....oh well....it is what it is
 
I am the one who is supposed to complain about this, not you! Unless you were complaining on my behalf....

When you see the wordy Pundit complaining about wordiness, you must know that this is not ordinary plain unadulterated diction, rather it tends towards being the ultra-supra-overconvolved twist in the tail that reading between the lines of the lines will require not only a microscope, but possibly the yet to be invented extra large halidon superconductor.

I am not sure even CERN is ready for that.
 
Please translate this rigamarole mumbo jumbo........
 
Waheshimiwa mnanipoteza hapa kabisa......badala ya kujadili CONTENTS tunajadili ''Quality ya uandishi'' naomba tuache kupoteza mwelekeo wa thread hii! Kama mnataka kuchallenge length na punctuations za articles za mkjj, anzisha thread nyingine....sio kuchanganya tu mambo hapa!

To me it does't matter kama article ni ndefu a laa, what matters ni contents zake.....!

Hii article ya mkjj ina contents nzuri, sijui mlitaka afupishe vipi hapo!

Hakuna tofauti kati ya kilichoandikwa na kilivyoandikwa, wewe huna haja ya kujadili content, na ni mmoja wa wale wanaotaka kujadili delivery.Wanaotaka kujadili content tunawaona, hata hawajishughulishi na hii "petty" business ya kujadili delivery.

Kwa kujadili jinsi sisi tunavyojadili delivery, umejiunga nasi katika kutoka kujadili content na kuja kwenye kujadili delivery.Na kwa hiyo unajirudisha katika kundi hilo hilo unalolidhihaki.

Kwa matendo yao, si kwa maneno, utawajua.

Think about it, ungejadili content labda mimi katika post hii, au mtu mwingine, angekuwa anakujibu kuhusu content. Umejibu delivery na mimi nakujibu kuhusu delivery.

Mimi sikulazimishi wewe ujadili delivery, wala sikuzuii usijadili content. I only wish you could extend the same civility towards others and quit playing the great dictator, even Caesar had ploy.

Practice what you preach.
 
When you see the wordy Pundit complaining about wordiness, you must know that this is not ordinary plain unadulterated diction, rather it tends towards being the ultra-supra-overconvolved twist in the tail that reading between the lines of the lines will require not only a microscope, but possibly the yet to be invented extra large halidon superconductor.

I am not sure even CERN is ready for that.

[media]http://www.dailymotion.com/video/x1nb4w_practice-what-you-preach_music[/media]
 
Hakuna tofauti kati ya kilichoandikwa na kilivyoandikwa, wewe huna haja ya kujadili content, na ni mmoja wa wale wanaotaka kujadili delivery.Wanaotaka kujadili content tunawaona, hata hawajishughulishi na hii "petty" business ya kujadili delivery.

Kwa kujadili jinsi sisi tunavyojadili delivery, umejiunga nasi katika kutoka kujadili content na kuja kwenye kujadili delivery.Na kwa hiyo unajirudisha katika kundi hilo hilo unalolidhihaki.

Kwa matendo yao, si kwa maneno, utawajua.

Think about it, ungejadili content labda mimi katika post hii, au mtu mwingine, angekuwa anakujibu kuhusu content. Umejibu delivery na mimi nakujibu kuhusu delivery.

Mimi sikulazimishi wewe ujadili delivery, wala sikuzuii usijadili content. I only wish you could extend the same civility towards others and quit playing the great dictator, even Caesar had ploy.

Practice what you preach.

Can you do the same by being less long winded....something which you're knocking Mwanakijiji for?
 
[media]http://www.dailymotion.com/video/x1nb4w_practice-what-you-preach_music[/media]

You did not get the irony memo it seems, killing wordiness with wordiness was the motto.

Kind of giving back the experience and seeing how appreciative the good people of JF are.

Now the socuial experiment is confirmed, wordiness cannot be tolerated.Even if it is a showism of Ivy badges proportions.
 
With ease, now i got it! :)
 
Are you insinuating something...?

I just declared the "siri" part to be nothing but an old trick in the book of sensationalist tabloidism.

A shame, because I am sure there are many notable things in the piece, but with this level of integrity, this is just ammo to those who usually front that Mwanakijiji is blowing things out of proportions. The truth is bad enough, no need to oversensationalize it.
 
Naona sasa hivi kila mtu kafumbua macho baada ya kuona jahazi linazama.....Vizuri sana jamani maana tutafika tu hata iwe vipi..........
 
Kuna watu wako Tandahimba huko hawapati mtandao mazee, Mwanakijiji kaanzisha kijarida kama una network ya watu wenye internet connection na printers unaweza kusaidia kichapishwe zaidi na kusambazwa angalau watu wajue nini kinaendelea.

Ukikaa kwenye mtandao ni rahisi kufikiri watu wameelewa lakini wenye access na mtandao Tanzania ni chini ya asilimia moja, ambao nusu yao ni mafisadi na nusu ya waliobaki ni wala makombo yao kwa hiyo effectively tunadeal na robo ya population nzima kwa hesabu za haraka haraka.
 
Mara nyingi (isomeke zote) huwa sirudii kusoma nilichoandika mimi mwenyewe na kufanyia uhariri. I'll definitely improve in that which might shorten articles to the delight of some.

Kosa kubwa sana. Makosa madogo madogo na pia repeatitions ni rahisi sana kuyagundua kama utadare kusoma ulichokiandika hata mara mbili kabla hujampa mtu mwingine asome.

Waafrika wanasemwa ya kuwa hawasomi. Pengine ni kutokana na waandishi kutowaheshimu wasomaji wao.

.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom