Kitoweo

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
269,632
697,704
c2ea0c0a3009f9039fdf7f69d3ba2465.jpg
 
Kwa wenye matatizo ya nguvu za kiume jaribuni supu ya hawa jamaa. Unaambiwa viagra cha mtoto ...

Niliinywa supu yao kule Louisiana bila kujua mbona kimbembe nilikiona. Ni supu nzito tamu inatiwa pilipili kidogo halafu unainywa asubuhi na kipande cha mkate. Nakwambia siku nzima tumbo ndii unacheua tu huku mnara ukiwa laivu ukisikilizia mawimbi...
 
Ungefundisha na jinsi ya kuwaandaa na kuwapika.msimu wa mvua huu.watakuwa wengi
 
Mkuu sijui hata wanapikwaje. Nilikuwa kwenye semina ya wiki mbili na tulikuwa tunapikiwa na chef kabisa professional. Sikujua mpaka siku ya mwisho chef anatambulishwa ndo akasema kuwa kumbe siku zote tulikuwa tunafakamia supu ya konokono. Tuliishia kusonya tu basi.
 
Hao wa nchi kavu labda upeleke Dodoma. Wagogo watakuvamia ila mimi wamenimalizia mboga zangu bustanini. Mshana tuma waganga wako waje kuwaua au wawachukue kwa hao walaji. Serious how to kill these creatures?
Sawa sister will do the needful
 
Duuu dawa ya nguvu za kiume! Mshana Jr usije tupotosha kaka. Ila hao jamaa wanaliwa sana maeneo ya west Africa na ni chakula Chao kikubwa sana. Nimeshuhudia Ivory Coast hii chakula inapendwa sana na ukishangaa kwa wale wapenda rost maini unaweza jikuta umeshiba konokono.
 
daah yaani hao konokono ukiwavua majumba yao ukawatafuna hvyohvyo wabichi ni watamu hatari
 
Duuu dawa ya nguvu za kiume! Mshana Jr usije tupotosha kaka. Ila hao jamaa wanaliwa sana maeneo ya west Africa na ni chakula Chao kikubwa sana. Nimeshuhudia Ivory Coast hii chakula inapendwa sana na ukishangaa kwa wale wapenda rost maini unaweza jikuta umeshiba konokono.
Ni kweli kabisa mkuu. Mzee wangu aliwahi kutembelea sierra leone, ivory coast na ghana na alinisimulia kuwa ni chakula cha kawaida kabisa.
Konokono, chura, kobe au hata kasa wanaliwa sana west africa na wanauzwa hadi sokoni. Ila alidai kuwa wanawekwa chumvi na pilipili nyingi sana. Ama kweli tembea uone mengi.
 
Back
Top Bottom