Kwa wenye matatizo ya nguvu za kiume jaribuni supu ya hawa jamaa. Unaambiwa viagra cha mtoto ...
Niliinywa supu yao kule Louisiana bila kujua mbona kimbembe nilikiona. Ni supu nzito tamu inatiwa pilipili kidogo halafu unainywa asubuhi na kipande cha mkate. Nakwambia siku nzima tumbo ndii unacheua tu huku mnara ukiwa laivu ukisikilizia mawimbi...
Ungefundisha na jinsi ya kuwaandaa na kuwapika.msimu wa mvua huu.watakuwa wengiKwa wenye matatizo ya nguvu za kiume jaribuni supu ya hawa jamaa. Unaambiwa viagra cha mtoto ...
Niliinywa supu yao kule Louisiana bila kujua mbona kimbembe nilikiona. Ni supu nzito tamu inatiwa pilipili kidogo halafu unainywa asubuhi na kipande cha mkate. Nakwambia siku nzima tumbo ndii unacheua tu huku mnara ukiwa laivu ukisikilizia mawimbi...
Wewe unakula?
. unawakaanga au kuwachemsha?Ndio
Hao wa nchi kavu labda upeleke Dodoma. Wagogo watakuvamia ila mimi wamenimalizia mboga zangu bustanini. Mshana tuma waganga wako waje kuwaua au wawachukue kwa hao walaji. Serious how to kill these creatures?
Mkuu sijui hata wanapikwaje. Nilikuwa kwenye semina ya wiki mbili na tulikuwa tunapikiwa na chef kabisa professional. Sikujua mpaka siku ya mwisho chef anatambulishwa ndo akasema kuwa kumbe siku zote tulikuwa tunafakamia supu ya konokono. Tuliishia kusonya tu basi.Ungefundisha na jinsi ya kuwaandaa na kuwapika.msimu wa mvua huu.watakuwa wengi
Wanaume wa Dar wako tayari hata kufakamia konokono ili waongeze nguvu za kiume? Supu ya pweza, mahindi yenye chumvi na maembe yaliyopakwa pilipili haviwatoshi?we subiri PM za wanaume wa Dar SHIMBA YA BUYENZE
Sawa sister will do the needfulHao wa nchi kavu labda upeleke Dodoma. Wagogo watakuvamia ila mimi wamenimalizia mboga zangu bustanini. Mshana tuma waganga wako waje kuwaua au wawachukue kwa hao walaji. Serious how to kill these creatures?
Ni kweli kabisa mkuu. Mzee wangu aliwahi kutembelea sierra leone, ivory coast na ghana na alinisimulia kuwa ni chakula cha kawaida kabisa.Duuu dawa ya nguvu za kiume! Mshana Jr usije tupotosha kaka. Ila hao jamaa wanaliwa sana maeneo ya west Africa na ni chakula Chao kikubwa sana. Nimeshuhudia Ivory Coast hii chakula inapendwa sana na ukishangaa kwa wale wapenda rost maini unaweza jikuta umeshiba konokono.
hahahaha. kweli nguvu za kiume ni janga la wanaume wa DmsWanaume wa Dar wako tayari hata kufakamia konokono ili waongeze nguvu za kiume? Supu ya pweza, mahindi yenye chumvi na maembe yaliyopakwa pilipili haviwatoshi?