Kitovu kinauma kati na kinavuta kwa ndani

mtoto mdg

Member
Sep 22, 2016
65
53
Habar JF doctors

Ni siku chache nimeanza kupata maumivu ya kitovu. Ila leo naona yamezidi zaidi. Kitovu kinauma kati na kinavuta kwa ndani siwezi lalia tumbo kabisa ni ubavu kwa ubavu.

Naombeni ushauri nfanyaje walau kitulie nilale.
 
Kwa mwanamke Kuvuta kitovu husababishwa na Mambo mengi ikiwemo UTI..kuchafuka kwa tumbo au Mimba! Lakini pia inaweza kuwa dalili ya kuathiriwa kwa organ mbali mbali kama Kongosho au mawe kwenye figo.

Kama maumivu yanasambaa mpaka mgongoni au sehemu kubwa ya tumbo bhasi kuna shida kubwa nenda hospital. Pia upime UTI.
 
Asante
Kwa upande wa mimba hii ipoje

Mtoto anapoanza kukua husababisha mgandamizo au pressure kwenye eneo la kitovu hii hupelekea maumivu kwa ***** eneo la kitovu ambayo huisha baada ya muda mfupi..! Japo maumivu hizidi endapo akipiga chafya..kukohoa au kuinama.
 
Back
Top Bottom