Kitope Nauza Simu used. tatu HTC desire, Nokia 5230, Nokia 6710. Original zote.

Kitope

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
236
58
htc desire (2).jpg nokia-6710-navigator.jpg nokia 5230.jpg

Zote ni original na zimetumika! htc imetumika takriban miezi 9, 5230 mwaka na 6710 imetumika miezi 6. zinashuka dar tarehe 28/03.
Bei HTC = 500, 000Tsh.
Nokia 5210= Sijui ngapi niuze
NA Nokia 6710 = 450,000Tsh.
hiyo nokia ingine mwenye kuweka dau na alambe.
Specification mtanisamehe, mwenye kuitaji azi google please. ni nyingi na sina muda wa kuzinukuu zote hapa.
haya wananenii. nasubiri sasa..
 
Minataka hiyo htc ila kilo mbili na nusu ndo hipo kama uko tayari PM me 2fanye business.
 
Minataka hiyo htc ila kilo mbili na nusu ndo hipo kama uko tayari PM me 2fanye business.
Laki mbili ni pesa nyingi lakini Hapana Mkuu, kwa hiyo bei wacha tu nitumie mwenyewe.
Ps: hiyo ya silver wameshabuku waungwana imebaki hiyo dark one na hizo nokia.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom