Kitkat on galaxy S2

king90

JF-Expert Member
Apr 18, 2014
368
215
Wakuu kwa anaeweza update samsang galaxy s2 with android 4.1.2 to kitkat 4.4.2 naomba anijuze
 
bila shak kwanin isi wezekana wa kat mm nishatia kweny s1 kazini kwak 2
Mkuu fanya mwezesho basi ,unafanyaje kwa sii?na vipi haileti issue za ku crash? kama jawabu ni ndio je upo uwezekano wa kurudi kwenye official android version za sii?
 
Nijuavyo huwa wanaleta update wenyewe mfano mimi nilipata meseji kunijulisha hilo nikaenda kwenye option ya system update ikaingia kit kat sijui kwa zingine but sijaona jipya mno kwa hiyo kit kat labda version mpya ya lolypop
 
Wakuu kwa anaeweza update samsang galaxy s2 with android 4.1.2 to kitkat 4.4.2 naomba anijuze
Sijui kama Samsung wana mpango wa kutoa upgrade ya kitkat kwa S2 kwani hv karibuni kinyume na matarajio ya wengi, former flagship yao S3 haitopata kitkat. So for S2 is quite unthinkable!!! Wenye S4 na note 3 tayari washapata....n mwendo wa music track on lock screen....not a big deal!!
 
Mwongozo jinsi ya ku update kwenye S4.

Kuwa na bundle la kutosha atleast 400mb au via wifi network...ingia settings>> device>> about device>> sotware update
 
Attachments

  • 1402000946534.jpg
    1402000946534.jpg
    46.5 KB · Views: 80
  • 1402000970741.jpg
    1402000970741.jpg
    43.1 KB · Views: 74
  • 1402000990681.jpg
    1402000990681.jpg
    25.6 KB · Views: 68
Kitkat....enjoy the sweets from google
 
Attachments

  • 1402001270765.jpg
    1402001270765.jpg
    20.8 KB · Views: 73
  • 1402001291545.jpg
    1402001291545.jpg
    28 KB · Views: 72
Sijui kama Samsung wana mpango wa kutoa upgrade ya kitkat kwa S2 kwani hv karibuni kinyume na matarajio ya wengi, former flagship yao S3 haitopata kitkat. So for S2 is quite unthinkable!!! Wenye S4 na note 3 tayari washapata....n mwendo wa music track on lock screen....not a big deal!!

Make sure una internet bundle la kutosha, baada ya kudownload, make sure battery yako ipo atleast 25% kwa ajili ya kufanya installation ya new firmware, usiidisturb kipindi cha installation mpaka itakapo maliza yenyewe....then itajiristart
 
mimi nilishawahi kuweka kwa S2 yangu ila nikaitoa baadae baada ya kiona baadhi ya vitu haviingii mfano radio inakuwa haifanyi kazi...nilitumia njia ya ku root kwanza..jaribu ku google utaona steps na downloads zake..
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom