Mkuu fanya mwezesho basi ,unafanyaje kwa sii?na vipi haileti issue za ku crash? kama jawabu ni ndio je upo uwezekano wa kurudi kwenye official android version za sii?bila shak kwanin isi wezekana wa kat mm nishatia kweny s1 kazini kwak 2
Hapana Grand bado mkuu
Sijui kama Samsung wana mpango wa kutoa upgrade ya kitkat kwa S2 kwani hv karibuni kinyume na matarajio ya wengi, former flagship yao S3 haitopata kitkat. So for S2 is quite unthinkable!!! Wenye S4 na note 3 tayari washapata....n mwendo wa music track on lock screen....not a big deal!!Wakuu kwa anaeweza update samsang galaxy s2 with android 4.1.2 to kitkat 4.4.2 naomba anijuze
Mwongozo jinsi ya ku update kwenye S4.
vp kwa note 2
Sijui kama Samsung wana mpango wa kutoa upgrade ya kitkat kwa S2 kwani hv karibuni kinyume na matarajio ya wengi, former flagship yao S3 haitopata kitkat. So for S2 is quite unthinkable!!! Wenye S4 na note 3 tayari washapata....n mwendo wa music track on lock screen....not a big deal!!