Kitimoto kilo moja watu tunafyeka lakini kilo moja ya nyama ya ng'ombe hatutoboi, tatizo liko wapi?

Hii ndio nyama ambayo haileti matatizo mwilini kama gauts na uric acid kwa sababu ni nyama nyeupe white meet na ina vinasaba ambavyo hufanya watumiaji wawe na akili nyingi na kuishi muda mrefu angalia mataifa ya china ulaya na kwa Tanzania mkoa wa kilimanjaro ni mfano.

Zipo propaganda za kidini dhidi ya nyama hii bora,mara ina wadudu sijui ukimwagia nini, mara ina minjoo inayokwenda kwenye ubongo. Uongo mtupu una enezwa na ijumaa na nduguye jumamosi
Acha uzushi. Nguruwe iko kwenye kundi la nyama nyekundu kama mbuzi, ngombe.
 
Arusha maeneo ya Kaloleni SARAFINA INN hawa jamaa ni wataalam wa kumtengeneza huyu kiumbe mtamu
Wesio wakwanza kukusikia ukiongea hvyo ila kuna siku nlipeleka familia tupige lunch pale nlijuta aisee kwanza wapo slow pili wanaiba uzito tatu nyama yao ya kawaida sana pia raha ya hii nyama uipige live bila makorokoro salamu zimfikie mshkaji mmoja hv fundi sana wa hii nyama alikuwa pale sinza darajan saiz kahamia road yakwenda Salma Kikwete mwingine ni pale Singida karibu na meatu hotel wale Jamaa nao hawana mbwembwe kabisa tukienda Moshi pale kiborolin kwenye contena Kule Tanga mule ndan sabasaba wengi wez sema kuna dogo mmoja yupo opposite na Tanga pazuri upande wa vibanda vinavyozunguka uwanja sema sio msafi kihivyo na pale Dodoma jiran na cbe pale sijui kama bado wapo wale Jamaa
 
Hapo kibololoni huyo jamaaa ni hatari kaka kama chokilate vile! Kuna mwamba yuko suka pale kilimani bar achaa mzeee unaweza sema huyu ni pofu au swala ana banika siyo mchezo ukishushiaa na k vant la haula lazima u feel uchumi wa kati

Sent from my TECNO LA7 using JamiiForums mobile app
 
Wakuu ukienda ukaagiza Nyama kiti moto kilo moja unakula na kumaliza fasta hata wakati mwingne unatamani kuongeza, hebu piga Picha Nyama kilo moja ya ng'ombe huko nyumbani tunakula watu kumi na inabaki

Swali hivi kweli ile Nyama inakuwa ni kilo moja Au wanatuibia? Inakuwa kweli ni kilo moja ile Nyama ya kiti moto? Au wanatuibia? Au kuna sababu ingine?
Punguza uroho wa nyama
 
Kwenye bucha yangu ya kitimoto huwa napata sana loss kipindi cha ramadhaani,hii inamaanisha nini wakuu?
 
Wakuu ukienda ukaagiza Nyama kiti moto kilo moja unakula na kumaliza fasta hata wakati mwingne unatamani kuongeza, hebu piga Picha Nyama kilo moja ya ng'ombe huko nyumbani tunakula watu kumi na inabaki

Swali hivi kweli ile Nyama inakuwa ni kilo moja Au wanatuibia? Inakuwa kweli ni kilo moja ile Nyama ya kiti moto? Au wanatuibia? Au kuna sababu ingine?
Jibu lake vitu vya haram hua vinapendwa sana we angalia unapo tembea na mwanamke wa nje inakuaje unapiga shoo ya kibabe kwa sababu huyo mwanamke sio halali yako, soda au juis unaweza kumaliza chupa hata 3 vp pombe mkuu hata 20 watu wanamaliza jibu shetani hua anasimamia show
 
Wesio wakwanza kukusikia ukiongea hvyo ila kuna siku nlipeleka familia tupige lunch pale nlijuta aisee kwanza wapo slow pili wanaiba uzito tatu nyama yao ya kawaida sana pia raha ya hii nyama uipige live bila makorokoro salamu zimfikie mshkaji mmoja hv fundi sana wa hii nyama alikuwa pale sinza darajan saiz kahamia road yakwenda Salma Kikwete mwingine ni pale Singida karibu na meatu hotel wale Jamaa nao hawana mbwembwe kabisa tukienda Moshi pale kiborolin kwenye contena Kule Tanga mule ndan sabasaba wengi wez sema kuna dogo mmoja yupo opposite na Tanga pazuri upande wa vibanda vinavyozunguka uwanja sema sio msafi kihivyo na pale Dodoma jiran na cbe pale sijui kama bado wapo wale Jamaa

Wale walishahama, kuna mahali karibu na TRA wanaitwa Pork Joint hatari sana wale watu, ni hatari sanaaaaaa
 
Nilikula kitimoto Zanzibar panaitwa kwa rasi sikumbuki mtaa, hadi leo najiuliza ile kitimoto ilikuwa tamu sana au nilikuwa na njaa sana! Maana tulivyotoka bandarini tu tukapitiliza kwa rasi aiseee kitimoto ilikuwa tamu balaa.
 
Wakuu ukienda ukaagiza Nyama kiti moto kilo moja unakula na kumaliza fasta hata wakati mwingne unatamani kuongeza, hebu piga Picha Nyama kilo moja ya ng'ombe huko nyumbani tunakula watu kumi na inabaki

Swali hivi kweli ile Nyama inakuwa ni kilo moja Au wanatuibia? Inakuwa kweli ni kilo moja ile Nyama ya kiti moto? Au wanatuibia? Au kuna sababu ingine?
Imebarikiwa toka enzi na enzi, utamu wake kuna vitu viwili tu unaweza linganisha navyo,
1. Asali
2. tunda la mti wa kati [alilokula Eva na Adam]
 
Back
Top Bottom