Kitimoto chawashwa moto, vilio na mayowe ya kibinaadam...

FaizaFoxy

Platinum Member
Apr 13, 2011
92,820
109,102
Huko China na kwengine duniani limezuka gonjwa lisilotibika kutokana na "mdudu" aka "kiti moto" aka "mbuzi katoliki" aka nguruwe.

Nguruwe katika vitabu (vya imani zote kuu mbili za hapa kwetu) kaharamishwa kuliwa. China ingawa kuna Waislam na Wakristo wachache na wengine wa imani nyingine lakini wengi wao hawaamini dini wala Mungu kabisa na Wachina wanajulikana kwa kula chochote kile lakini safari hii kitimoto kimewasibu mpaka wameamua kukiteketeza chote.

Jionee na sikiliza vilio na mayowe yanayofanana na ya binaadam zoezi la kuwateketeza likiendelea...

 
Mbna hata hapa tz huo ugonjwa wa nguruwe huja na kupotea


Nadhan huna akili !

Na hufahamu chochote kuhusu mifugo !

Close up your rubbish mindset !

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwan....i!!! Wanyama wengine au ndege hawaugui? Kuna watu wanadhani kuumwa kwao kunatokana na imani iliyopo kuwahusu hao nguruwe... kuku ana kideli, kwa sababu na wao wanakula basi siyo shida... JUZI TU HAPA KUKU TOKA KENYA TUNAJUWA WALIFANYWA NINI
 
Ukila hii kitu lazma majini ya kimbie. ...

20181010_154222.jpg
 
Ulishamsikia kuku analia na kupiga mayowe kama binaadam akiteketezwa?
Kwan....i!!! Wanyama wengine au ndege hawaugui? Kuna watu wanadhani kuumwa kwao kunatokana na imani iliyopo kuwahusu hao nguruwe... kuku ana kideli, kwa sababu na wao wanakula basi siyo shida... JUZI TU HAPA KUKU TOKA KENYA TUNAJUWA WALIFANYWA NINI
 
Mk 7: 14-16
14Yesu aliuita tena ule umati wa watu, akawaambia, "Nisikilizeni nyote, mkaelewe. 15Hakuna kitu kinachoingia ndani ya mtu toka nje ambacho chaweza kumtia mtu najisi. Lakini kinachotoka ndani ya mtu ndicho kinachomtia mtu najisi." 16Mwenye masikio na asikie!
 
Roho imeniuma sana kuwaua kikatili namna hiyo why hawakuwapa hata sumu wajifie bila uchungu namna hii? Nimeumia sana!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom