Kitila Mkumbo ndio kashaanza kumkataa Zitto?

Truths

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
1,494
1,503
Haikua siri jinsi profesa Kitila mbobezi ww siasa alivyokua muumini WA lowasa alipohamia CDM angali yeye akiwa ACT
Kitila alikiri kutoamini kuhusu uundwaji wa mahakama ya mafisadi dhana iliiopigiwa debe na magufuli Kama njia ya kupambana na ufisadi

pia huko nyuma kitila aliwahi kushiriki kufanya mabadiliko Cdm ambayo yalitafsiriwa kua ni haramu hata akitimuliwa na swaiba wake zito.

Mwishowe sasa amerudi kundini kule alikolelewa na kusomeshwa yaani CCM.

Ndio kusema ameshamkana zito?
What goes around cones around...

b3fbac99c33c334c928eaddda08400c7.jpg
 
Tulisema Kitila Mkumbo, Zitto and ??? ni wasaliti. Dhambi ya usaliti haiwezi kumuacha mtu salama. Ukianza kula nyma ya mtu, utaendelea kuila mpaka mwisho. Sasa atatoa siri zote za chama kwa ngosha. time will tell!
 
Hao ni nyoka wawili wa kufugwa,wakikosa unga wa kula,watamezana wenyewe.

Sioni cha ajabu.
 
Back
Top Bottom