Kitila Mkumbo na Wenzako | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kitila Mkumbo na Wenzako

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Sabi Sanda, Apr 2, 2011.

 1. S

  Sabi Sanda JF-Expert Member

  #1
  Apr 2, 2011
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 412
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  ACHENI USANII WA MCHANA KWEUPE----0659 28 19 64---tupigiane kupitia namba hiyo kama mtapenda. Ila kabla ya kuwasiliana MUWE MMEMALIZA KUSOMA KILA NENO KATIKA HII TOVUTI WWW.EMEAGWALI,COM PIA MSISAHAU KUIMALIZA NAYO HII WWW.ABDULKALAM.COM NA WIKIPEDIA.COM---DR.DR.DR/DR.ELIAR MWAIFUGE ATAWEZA KUWASAIDIA MTAKAPO KWAMA.
   
 2. Limbani

  Limbani JF-Expert Member

  #2
  Apr 2, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 1,441
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
 3. Limbani

  Limbani JF-Expert Member

  #3
  Apr 2, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 1,441
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Labda ungetoa hoja yako kwanza kisha ukasupport na hizo web page zako, maana mpaka sasa hueleweki..!!!!
   
 4. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #4
  Apr 2, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Binafsi sijakuelewa unless udadavue
   
 5. only83

  only83 JF-Expert Member

  #5
  Apr 2, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Sijaelewa................
   
 6. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #6
  Apr 2, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,145
  Trophy Points: 280
  Hata mimi nipo kizani, labda Kitila anaelewa.
   
 7. K

  KAMBI YA NYOKA New Member

  #7
  Apr 2, 2011
  Joined: Mar 30, 2011
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  we sanda vipi mbona hueleweki, usanii upi? eleza jambo unalotaka kusema hapo ndiyo upigiwe kwa simu uliyoweka sio unataka tukupigie wakati huna hoja, au tupige tuulize nini unauza mboga?
   
 8. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #8
  Apr 2, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Sanda mkuu kama una yako na kitila (Maana statement yako ya kwanza kwenye thread inatish) na una maadizo ya muhimu mnayoelewana wenyewe ungem-PM mtu kuliko kutuwekea thread hata haieleweki
   
 9. I

  Ike Member

  #9
  Apr 2, 2011
  Joined: Jul 5, 2009
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Nipo gizani kwa hoja yako, tueleweshe Sanda
   
 10. S

  Sabi Sanda JF-Expert Member

  #10
  Apr 3, 2011
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 412
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  EMEAGWALI.COM KILA SIKU SABA MARA SABINI. WOTE PhD ZAO HALITAMBULIKI KUANZIA JANA 03.04.2011. NA ILI WARUHUSIWE KUANZA KUFANYA UTAFITI WA PhD ZAO MPYA NI LAZIME UWEZO WA KILA MMOJA WAO KI ELIMU UWE SAWA NA UWEZO WA PHILIP EMEAGWALI AU ZAIDI.

  WASIWE NA WASIWASI TUTAONGOZANA NAO HATUA KWA HATUA. PIA WAJUE KUWA MSHAHARA WA MWEZI HUU WA NNE UTAPATIKANA PALE TU KILA MMOJA WAO ATAKAPONYESHA AMEANDIKA NINI KATIKA ROBO HII YA KWANZA YA MWAKA HUU WA 2011. HUU NI UTARATIBU MPYA WA KULIPA MISHAHARA NA UTAKUWA NDIYO WA NCHI NZIMA NA UTAKUWA WA KUDUMU.
   
 11. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #11
  Apr 4, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,005
  Likes Received: 739
  Trophy Points: 280
  Husomeki kabisa mkuu.
   
 12. kisasangwe

  kisasangwe JF-Expert Member

  #12
  Apr 4, 2011
  Joined: Feb 16, 2010
  Messages: 294
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  .:noidea::help:
   
 13. bishoke

  bishoke JF-Expert Member

  #13
  Apr 4, 2011
  Joined: Jan 12, 2010
  Messages: 276
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nagundua kuwa thread nyingine kuzisoma kumbe ni amri!
   
 14. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #14
  Apr 4, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,275
  Trophy Points: 280
  kumbe vichaa hawapo milembe peke yake! yaani humu JF wamejaa vyakutosha, yaani hadi majimshindo hameshindwa kumuelewa huyu bwana! basi kazi ipo.
   
 15. Kunta Kinte

  Kunta Kinte JF-Expert Member

  #15
  Apr 5, 2011
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 3,660
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  jARIBU KUFAFANUA UKISEMACHO MKUU HAUELEWEKI KABISA
   
Loading...