Elections 2010 Kitila mkumbo: Hatari iliyopo mbele ya CHADEMA

politiki

JF-Expert Member
Sep 2, 2010
2,376
1,507

kaka kitila mkumbo nakuheshimu sana na hasa kipindi ulipokuwa pale
chuoni uliyafanya kazi nzuri sana kama rais wa Daruso. nakuomba unipitishie
maoni yangu haya kwa wateule wetu wa chadema. hatari iliyopo mbele ya chadema hivi sasa ni kwa wabunge na madiwani wao kuanza kununuliwa na ccm. sijui njia sahihi ya kuweza kukabiliana na hili kwa maana hawa ni watu wazima wana kila sababu ya kujiamulia mambo yao wenyewe. lakini chadema inachoweza kukifanya ni kuita kikao na wateule wake wote na kuwapa tahadhari hii mapema. kuwaeleza jinsi wananchi walivyo sacrifice kwa ajili yao na wajue wazi kuwa ccm inawatafuta kwa udi na uvumba kwa ajili ya kutaka kupunguza nguvu ya upinzani kwahiyo waelezwe wazi kuwa kitendo chao cha kukubali kununuliwa na ccm siyo tu ni usaliti kwa chama chako bali ni usaliti kwa waliokuchagua ambao wengine wametoa maisha yao kwa ajili yao kwahiyo usaliti wao siyo tu kwa chama bali kwa binadamu wenzao kwahiyo wana kesi ya kujibu kesho mbele ya Mungu na pia historia itawahukumu kwa kukubali kutumiwa kurudisha nyuma demokrasia ndani ya Tanzania kwahiyo huo ni usaliti dhidi ya nchi yako. kwa kuongezea kiwepo kiapo maalum cha chama cha utii kwa chama ikiwemo kutokisaliti chama na wapiga kura waliokuchagua. kwahiyo haya yote yafanywe ili wahusika wawe na information za kutosha kwa kitendo watachokifanya(God forbid). mimi binafsi ninaweza ku draft kiapo maalum cha chama kama mtaona inafaa.
hii ndio tahadhari yangu kwa chadema nitashukuru sana kama utaifikisha chamani. tume sacrifice vitu vingi sana na nisingependa kuona sacrifice hii goes on vain.
God bless Tanzania,
God Bless Chadema.
 
What did you say???

Pole sana... naona umejieleza kwa maumivu makali!

Una vielelezo vyovyote?

Au ushahidi na maelezo ya kina umempa Dr Mkumbo...?
 
suala la kununuliwa kwa wateule toka chadema ni ngumu kulizuia, kwa maoni yangu CHADEMA ijikite katika kuimarisha chama badala ya kung'ang'ana na watu hakuna mtu ambaye ni mkubwa kuliko chama watu watakuja na kuondoka ili kuimarisha chama napendekeza kwa kila jimbo ililochukua chadema ifungue ofisi zao na kazi kubwa ifanywe ku create awereness ya kujikomboa pamoja na ku recruit wanachama waaminifu wakutosha kazi hiyo ianze sasa!
 
kaka kitila mkumbo nakuheshimu sana na hasa kipindi ulipokuwa pale
chuoni uliyafanya kazi nzuri sana kama rais wa Daruso. nakuomba unipitishie
maoni yangu haya kwa wateule wetu wa chadema. hatari iliyopo mbele ya chadema hivi sasa ni kwa wabunge na madiwani wao kuanza kununuliwa na ccm. sijui njia sahihi ya kuweza kukabiliana na hili kwa maana hawa ni watu wazima wana kila sababu ya kujiamulia mambo yao wenyewe. lakini chadema inachoweza kukifanya ni kuita kikao na wateule wake wote na kuwapa tahadhari hii mapema. kuwaeleza jinsi wananchi walivyo sacrifice kwa ajili yao na wajue wazi kuwa ccm inawatafuta kwa udi na uvumba kwa ajili ya kutaka kupunguza nguvu ya upinzani kwahiyo waelezwe wazi kuwa kitendo chao cha kukubali kununuliwa na ccm siyo tu ni usaliti kwa chama chako bali ni usaliti kwa waliokuchagua ambao wengine wametoa maisha yao kwa ajili yao kwahiyo usaliti wao siyo tu kwa chama bali kwa binadamu wenzao kwahiyo wana kesi ya kujibu kesho mbele ya Mungu na pia historia itawahukumu kwa kukubali kutumiwa kurudisha nyuma demokrasia ndani ya Tanzania kwahiyo huo ni usaliti dhidi ya nchi yako. kwa kuongezea kiwepo kiapo maalum cha chama cha utii kwa chama ikiwemo kutokisaliti chama na wapiga kura waliokuchagua. kwahiyo haya yote yafanywe ili wahusika wawe na information za kutosha kwa kitendo watachokifanya(God forbid). mimi binafsi ninaweza ku draft kiapo maalum cha chama kama mtaona inafaa.
hii ndio tahadhari yangu kwa chadema nitashukuru sana kama utaifikisha chamani. tume sacrifice vitu vingi sana na nisingependa kuona sacrifice hii goes on vain.
God bless Tanzania,
God Bless Chadema.

Naamini ujumbe umefika kwa wateule wa CHADEMA na mtaufanyia kazi
 
Back
Top Bottom