Kitila Mkumbo ashikiliwa na wanausalama London

Status
Not open for further replies.
Kweli kabisa, Robot hili si jambo la kusubiria, make a follow up sasa hivi and let us know what is going on
 
I once said kwamba kuna watu wanakuja na hapa kubaribu hii forum.We are well respected people of this forum lakini utiiriri wa wana CCM wamekuja humu na uongo wao sijui wakitaka nini.I am now confrming tena kwa Madaha makbwa Kitila is very safe .Kitila amelala London hotel fulani kwa umbali wa nyumbani kwake.Kitila anasema hajakamatwa na mtu wala kuhojiwa na mtu waka kufuatiliwa .Kitila amelala na kuamka salama and he is on his was back home to see his family .

Brazamen na kundi lako hii CCM yenu mnaipaka matope na si kuisadidia this way .Tuko macho si kuichafua Serikali yetu bali kupingana nayo ikifanya makosa .Again Kitila ni mzima kabisa hana shida na hajakamatwa.Madai ya Brazameni sasa na kundi lake kuanzia sasa kuweni makini na postings zake .Kama kuna swali juu ya hili naomba niulize .Jana Kitila kabla sijalala nilisema naye na sasa nimesema naye .
 
Asante Mkuu Lunyungu kwa taarifa hii muhimu. Ninashangaa ni kwa namna gani mtu anapata ujasiri wa kutoa taarifa nzito ya uongo kama hii. Lets be serious.
 
Mkuu Lunyungu shukrani kwa taarifa hiyo. Naona Brazameni et al. walipaniki baada ya kutokupata mawasiliano naye...sasa kama wanaJF tutaanza kuweweseka na kukimbia vivuli vyetu tutafika kweli?
 
Was real shocked, thanks for clarifications...jamani wanataka nini hawa.....uzushi uzushi

I once said kwamba kuna watu wanakuja na hapa kubaribu hii forum.We are well respected people of this forum lakini utiiriri wa wana CCM wamekuja humu na uongo wao sijui wakitaka nini.I am now confrming tena kwa Madaha makbwa Kitila is very safe .Kitila amelala London hotel fulani kwa umbali wa nyumbani kwake.Kitila anasema hajakamatwa na mtu wala kuhojiwa na mtu waka kufuatiliwa .Kitila amelala na kuamka salama and he is on his was back home to see his family .

Brazamen na kundi lako hii CCM yenu mnaipaka matope na si kuisadidia this way .Tuko macho si kuichafua Serikali yetu bali kupingana nayo ikifanya makosa .Again Kitila ni mzima kabisa hana shida na hajakamatwa.Madai ya Brazameni sasa na kundi lake kuanzia sasa kuweni makini na postings zake .Kama kuna swali juu ya hili naomba niulize .Jana Kitila kabla sijalala nilisema naye na sasa nimesema naye .
 
I once said kwamba kuna watu wanakuja na hapa kubaribu hii forum.We are well respected people of this forum lakini utiiriri wa wana CCM wamekuja humu na uongo wao sijui wakitaka nini.I am now confrming tena kwa Madaha makbwa Kitila is very safe .Kitila amelala London hotel fulani kwa umbali wa nyumbani kwake.Kitila anasema hajakamatwa na mtu wala kuhojiwa na mtu waka kufuatiliwa .Kitila amelala na kuamka salama and he is on his was back home to see his family .

Brazamen na kundi lako hii CCM yenu mnaipaka matope na si kuisadidia this way .Tuko macho si kuichafua Serikali yetu bali kupingana nayo ikifanya makosa .Again Kitila ni mzima kabisa hana shida na hajakamatwa.Madai ya Brazameni sasa na kundi lake kuanzia sasa kuweni makini na postings zake .Kama kuna swali juu ya hili naomba niulize .Jana Kitila kabla sijalala nilisema naye na sasa nimesema naye .
Lunyungu, as you seem to confirm the safety of our friend and fellow member, Kitila Mkumbo, I think it'll be on our best interest if we closed this thread in order to halt the gaze of anger from friends who for a short time were a little bit estranged at the break out of these rumours. We'll reopen this thread at your request as appropriately so. Thank you !
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom