kiti cha mgojwa hospitali mnazimoja

Mbona kawaida sana hivi viti weye?
Au umeogopa kwa vile kimefungwa manati!
 
aaaah Tanzania bana, nakupenda kwa moyo wangu wote, hata waniite mwehu nyumbani nakupenda sana.
Hivi Balali mdogo wa BOT NANI YULEE, Nduli sijui tumekarabati kajumba kake na kajumba kamsaidizi wake kwa TSH 3bn ama ?
niwieni radhi nilikua nafikiri nikajikuta nimeandika.
 
Back
Top Bottom