Kiteto mabomu yatumika

Sir R

JF-Expert Member
Oct 23, 2009
2,175
297
Ni kuhusu migogoro ya ardhi kati ya wakulima na wafugaji.

Mkutano uliitishwa na chama cha wakulima.

source : ITV
 

BONGOLALA

JF-Expert Member
Sep 14, 2009
16,515
11,838
manufaa ya ccm kuendekeza siasa za ukabila!wameapa kumtoa shingo ndugai akikatiza kiteto
 

fikirikwanza

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
7,449
3,056
Urais sio kazi ndogo, uking'ang'ania ndo huwa hivi, kila kitu kinakosewa kila maamuzi sio sahihi, kila jitihada hazina tija kwa umma, hebu fikiria harafu chukua hatua pia.
 

Sir R

JF-Expert Member
Oct 23, 2009
2,175
297
Viongozi wa serikali na chama tawala mawazo yao ni urais tu, sijui wanataka kumwongaza nani?
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom