Kitengo cha Vetting kimmulike mwana JF huyu

Huyu hafai kuwa kiongozi ana vinasaba vya kujipendekeza sana ni jamii ya wale viongozi vijana wa kipindi cha Mwendazake.Kwa taarifa yako huyu alikataliwa na Wajumbe alipata kura moja hafai huyu.
Kukataliwa ni hatua ya kufikia malengo yako so si ajabu
 
Duh...!. Kwa sisi wengine wetu tunafahamiana kupitia jf, for more than 10 years, tunafahamiana abilities na capabilities zetu, kuna watu tumejijengea heshima kubwa humu JF na kuna watu tunawaheshimu sana humu, hivyo kuna vitu vya ovyo na vya kijinga, you just can't imagine they could do such a thing!. Mimi Pascal Mayalla, kwa jinsi ninavyo iamini jf, na kuiheshimu, siwezi kufanya ujinga kama huu wa kufungua fake ID na kuanza kujifagilia ili nionekane nafagiliwa!.
P
Uncle achana nao... Ila ukweli Uncle P mi nakukubali Saaaana ni hivyo huwezi ukaelewa jinsi natamani nipate hata punje mfano ya haradari ya uwezo wako... Najivunia kwakweli japo ccm si ikubali
 
Uncle achana nao...
Asante naachana nao, ila wengine ni ma GT wetu humu, how could they think I'm capable of doing such a nonsense?!, naumia!.
Ila ukweli Uncle P mi nakukubali Saaaana ni hivyo huwezi ukaelewa jinsi natamani nipate hata punje mfano ya haradari ya uwezo wako...
Thanks, moja ya maeneo ambayo nitajikita zaidi ni kwenye capacity building kuwajengea watu uwezo.
Najivunia kwakweli japo ccm si ikubali
Thanks kunikubali japo CCM huikubali, ndani ya CCM, tupo baadhi yetu ni watu wema, wazuri, waadilifu na wachapakazi. Niliwahi kushauri humu kuhusu CCM Je, mtu kujiunga CCM ni ujinga? Je, wana CCM ni wajinga? Je, watanzania wanaoichagua CCM, kila uchao ni wajinga? Its not fair
p
 
Mkuu M-mbabe, please!
Mimi ni verified member!.
P
Twitter relies on advertising for more than 90% of its revenue, though that may change under Musk, who has begun charging users $8 monthly to have “verified” status on their accounts.
===
Sasa Maxence Melo akiamua kufuata model ya Musk kwa utofauti kwamba ili usijulikane ulipe hela zaidi ya elfu 20 kwa mwezi, itakuwa balaa na mtafutano sana hapa. Na kibaya/kizuri nadhani member wa JF hawezi kufuta account yake mwenyewe.
- - -
Chakushangaza Kuna baadhi wanajiona kuwa ni sifa kuitwa chawa wa mtu Fulani!
 
Back
Top Bottom