Kitengo Cha uhakiki (Malipo) wakandarasi Wizara ya fedha kuweni na huruma!

Kibiki Kititu

Member
Feb 13, 2018
38
95
Kitengo hiki kimekuwa kinatutesa Sana wakandarasi(Sector binafsi), kwani wakipelekewa madai ya wakandarasi na waajiri (Clients) wao wamekuwa wanazingua Sana kulipa!

Kwa mfano kwa Sasa hivi wamekaa na invoice za Malipo ya wakandarasi zaidi ya miezi 3 Sasa!!

Fikiria mkandarasi huyo huyo anatakiwa kulipwa ili awalipe wafanyakazi wake, anatakiwa alipwe ili awalipe suppliers wake pia!

Kitendo Cha kuchelewesha Malipo ya watu ambao wameshafanya kazi na kazi zao zimekaguliwa zaidi ya Mara tatu ni unyanyasaji mkubwa Sana!!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom