Mathias Byabato
JF-Expert Member
- Nov 24, 2010
- 1,020
- 691
Kwa kifupi hao watu kama wapo they need to be fired immediately. CDM need to think of this very fast, mfano kufanya live internet broadcasting ya mikutano yao itawagharimu sh. ngapi? Au wanasubiri wawe wanatokea bure TBC na ITV? Ilitakiwa kitengo hicho pia kiwe na kina Nape wakati huo huo wako na akina Slaa. Mnafanya instant reporting huku na kule hata kabla wao hawajaingia hewani.
Another opportunity ni kuanza kutengeneza clips kwa kuanzia ziwekwe you tube... Mfano hii juzi JK alivyosema maneno ya Nape ni yake pia what an opportunity? Zingetengenezwa clip za kutosha mpaka sasa. Namna hii watacontrol hata namna wapinzani wao wanavyosema. They would need to think twice.
Kwa ufupi ukifuatilia vyama vya siasa tanzania vinavyoendesha siasa zao(kihabari) utashangaa sana si CCM,CDM wala CUF
Uelewa wao ni kuonekana kwenye magazeti ambayo pengine husomwa na watu wachache na record zake kuishia siku hiyo ,pamoja na kwenye TV na radio wanasahau sana New and Social media.
Mfano wakati wa Operation sangara ya CDM hapa Kagera,walikuwa na utitiri wa waandishi zaidi ya 8 wanawalipa posho,fedha ya kujikimu nk lakini hakuna hata mmoja anayesfikiria kupost hata video ya dk 1 kwenye Youtube,JF,Facebook nk.Kama mtakumbuka mimi mwenyewe nilipost humu Video ya dk 2 bila kulipwa na mtu(kwa sababu si gharama kubwa) baada ya siku kama 4 lakini watu walionekana kuishangaa kwani ilionesha kuwa walikuwa hawajaona hicho kitu,Na mpaka leo ipo,itaendelea kuwepo kwa kizazi na kizazi.
kwa ufupi hivi vyama lao moja
Lakini tatizo hilo lipo kwenye mfumo wa nchi,watu wake nk mfano kumbuka issue ya Ndimbo pale Simba,kumbuka ya JK kwa mawaziri wake nk