LICHADI
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 4,145
- 11,181
Ndugu yetu huyu amekuwa akimuandama sana Diamond Platnumz, huwezi kuta akisuport kazi zake zaidi ya kuangalia mazaifu yake na makosa yake tu, huyu huyu kitenge baada ya Diamond kuachana na mama watoto wake Zari alienda hadi South Africa na kuingia nyumbani kwa Diamond na kupiga mapicha kibao ilimradi tu Diamond aumie
Na leo tena kapost akimponda Diamond kuwa kachelewa msibani, kwa nini usimfuate direct umkanye kama mdogo wako kama hayo sio majungu, Dogo kawakuta kwenye game na kawapita ndio maana mnamchukia mnasubiriaga watu wafe ndio muanze kutoa sifa wakati hapa duniani mlikuwa mnachukiana.
Sent using Jamii Forums mobile app