Kitendo nilichomfanyia huyu muuza samaki Ferry hatokisahau kamwe

Huyu angekuwepo Msamvu wala asingewaza kuiba betri, bila shaka angejaribu kubeba cabin yote :D :D :D

Leo ndio mimejua Ford Ranger kwenye ndoto ni 'kigari'

1565941155972.png

Nmetoka ofisini mapema baada ya kumaliza meeting na watu kadhaa walokuja na huu Ujio wa SADC. Nikaona nipitie GYM mara moja ku train maana sipendi kuwa bonge.

Leo nilikuja na Ford Ranger nyuma nimeweka vifaa vyangu vya mazoezi. Si unajua tena gloves,track suits,raba ,maji na taulo la kujifutia jasho.

Baada ya kupiga tizi kishkaji tu nikatoka nikaona nikanunue samaki ferry. Nikawa tu nimevaa track na nguo ya juu mnaita carwash...

Si mnajua parking ni issue sana town.basi nikapata nafasi upande huu wa ng'ambo nikapark ki gari changu nikaona nikavuka barabara kwenda nunua samaki.

Mle ndani kuna madalali wananifahamu maana huwa sioni kitu kibaya kuwaachia wekundu au blue.Nikaenda kwa muuzaji mmoja ana misamaki mikubwa sana wale samak Dr Magufuli aliwahi wakamata.

Nimefika kwake akawa amefika na mama mmoja wa kihindi na waswahili wawili wote tukauliza bei. Jamaa akaonekana kuwa interested zaidi na yule mama wa kihindi akawa kama ananiignore hivi.

Basi nikaona isiwe shida nikasogea kwa wa pembeni yake nikamuuliza akanipa bei, nikamuuliza wale wote nikitaka kuchukua tsh ngapi kwa sauti tu jamaa akanambia tsh 430,000. Nikamwambia kuna toroli la kubebea akashangaa sana.yule mhindi kule alinunua samaki mmoja tu tsh 55,000 kwa jamaa.

Jamaa nikamwambia alete mtu wa kitorori apakie samaki wote na tena nataka wengine wa ziada jamaa akasema nikaongeze pale kwake. Nilimjibu yeye si anauzia wahindi tu. Basi mfuko nilikuwa na 200,000 nikamwambia aje kwenye gari nimpatie pesa nyingine.

Huwa kwenye gari sehemu flani kila napotoka naweka tsh 1,500,000/= ya dharura. Jamaa kwenda ona nachomoa tule tupesa akashtuka sana. Nikarudi naye mezani kwake nikam cash.

Yule jamaa wa pembeni amelaani sana ila nimetaka tu ajifunze asidhani sisi waswahili hatuna pesa au wote ni maskini.

Wale samaki nimechukua wengi sana nimeenda gawa wengine ofisini kwa jamaa maana niliona wengi sana ingawa kwenye deep freezer yangu wangekaa but wote wa nini?

Ofisini leo wamefurahi sana.Watanzania tujifunze kuheshimu wateja bila kuwa judge. Yule mhindi alinishangaa baadaye naletewa samaki kwenye kitorori naweka kwenye ford ranger ya mwaka 2017. Yeye amekuja na gari Toyota Alphard.

Nikawaza je ngekuja na moja ya zile Range zangu mbili au Benz au ngeamua nije na BMW si jamaa wangepagawa kabisa?

Tatizo watu wanaamini wazungu,wahindi ndo wana pesa sisi weusi hawatuelewi sana mpaka tuwaoneshe kuwa si wote maskini.

Anyway mi huwa sipend watu wajue nina vijicent kidogo ila pia sipendi wafikirie sisi sote ni maskini. Nimegawa samaki nikabaki nao kiasi tu. Nimepita kariakoo kununua kuku wa kienyeji 5 kila mmoja 30,000. Wamechinjwa na nikaomba wanyonyolewe. Ndo jamaa wanamalizia kunyonyoa muda huu niondoke.

Angalau huku Kariakoo kuku bei rahisi Kuna sehemu Mikocheni wanatuuzia tsh 40,000. Na kuku wenyewe wadogo.

Anyway natafuta mtu anayejua kuchoma vizuri kuku Jumamosi ntakaribisha jamaa zangu wazungu waje kula kuku choma na mbuzi choma.

Mbuzi kama kuna mtu anao wawili walioshiba tuwasiliane maana nimeambiwa bei ya mbuzi mmoja tsh 120,000 nataka wawili. Tuwasiliane wadau.
Bashiiiiteeeee... bila shaka.
 
Acheni wivu wa kike .kwani akijigamba kwa vipesa vyake we inakuuma nini ? .Chill down dude !
Wala sio wivu,tunamfundisha hekima,busara na adabu.Kunyamaza si ujinga,ndio busara zenyewe.Atajivunaje na vihela vya wizi?Maana ni obvious ni vya wizi,vya halali watu huwa hawajigambi navyo.Kaiibia serikali au mwajiri wake,halafu anakuja kututambia hapa,ooh,lazima niwe na 1.5m kwenye gari za matumizi madogo dogo,za kwake?Si za wizi hizo.Na usije ukakuta ni nshomile huyo,maana ndio zao.Wengine tunavyo pia,lakini ya nini,mbona watu wengine haviwahusu?Halafu ni ujinga ulioje, mtu anajivuna kwa watu ambao hata hawamjui,jamaa atakuwa na matatizo makubwa sana.
 
Mmmmh ngoja nikae kimya tu maana nikisema mtasema naleta ukabila
Hata mm nilitaka sema ila sitaji kabila

Jamaa naona kama huu uzi ni wakutangaza mali zake badala ya maada halisi...mf fored ya 2017 mara bmw mara 1.5m vya nn sasa..
Au kuna dem ulitongoza JF akazingua so unafikisha msg kiujanja,,,,
 
Nmetoka ofisini mapema baada ya kumaliza meeting na watu kadhaa walokuja na huu Ujio wa SADC. Nikaona nipitie GYM mara moja ku train maana sipendi kuwa bonge.

Leo nilikuja na Ford Ranger nyuma nimeweka vifaa vyangu vya mazoezi. Si unajua tena gloves,track suits,raba ,maji na taulo la kujifutia jasho.

Baada ya kupiga tizi kishkaji tu nikatoka nikaona nikanunue samaki ferry. Nikawa tu nimevaa track na nguo ya juu mnaita carwash...

Si mnajua parking ni issue sana town.basi nikapata nafasi upande huu wa ng'ambo nikapark ki gari changu nikaona nikavuka barabara kwenda nunua samaki.

Mle ndani kuna madalali wananifahamu maana huwa sioni kitu kibaya kuwaachia wekundu au blue.Nikaenda kwa muuzaji mmoja ana misamaki mikubwa sana wale samak Dr Magufuli aliwahi wakamata.

Nimefika kwake akawa amefika na mama mmoja wa kihindi na waswahili wawili wote tukauliza bei. Jamaa akaonekana kuwa interested zaidi na yule mama wa kihindi akawa kama ananiignore hivi.

Basi nikaona isiwe shida nikasogea kwa wa pembeni yake nikamuuliza akanipa bei, nikamuuliza wale wote nikitaka kuchukua tsh ngapi kwa sauti tu jamaa akanambia tsh 430,000. Nikamwambia kuna toroli la kubebea akashangaa sana.yule mhindi kule alinunua samaki mmoja tu tsh 55,000 kwa jamaa.

Jamaa nikamwambia alete mtu wa kitorori apakie samaki wote na tena nataka wengine wa ziada jamaa akasema nikaongeze pale kwake. Nilimjibu yeye si anauzia wahindi tu. Basi mfuko nilikuwa na 200,000 nikamwambia aje kwenye gari nimpatie pesa nyingine.

Huwa kwenye gari sehemu flani kila napotoka naweka tsh 1,500,000/= ya dharura. Jamaa kwenda ona nachomoa tule tupesa akashtuka sana. Nikarudi naye mezani kwake nikam cash.

Yule jamaa wa pembeni amelaani sana ila nimetaka tu ajifunze asidhani sisi waswahili hatuna pesa au wote ni maskini.

Wale samaki nimechukua wengi sana nimeenda gawa wengine ofisini kwa jamaa maana niliona wengi sana ingawa kwenye deep freezer yangu wangekaa but wote wa nini?

Ofisini leo wamefurahi sana.Watanzania tujifunze kuheshimu wateja bila kuwa judge. Yule mhindi alinishangaa baadaye naletewa samaki kwenye kitorori naweka kwenye ford ranger ya mwaka 2017. Yeye amekuja na gari Toyota Alphard.

Nikawaza je ngekuja na moja ya zile Range zangu mbili au Benz au ngeamua nije na BMW si jamaa wangepagawa kabisa?

Tatizo watu wanaamini wazungu,wahindi ndo wana pesa sisi weusi hawatuelewi sana mpaka tuwaoneshe kuwa si wote maskini.

Anyway mi huwa sipend watu wajue nina vijicent kidogo ila pia sipendi wafikirie sisi sote ni maskini. Nimegawa samaki nikabaki nao kiasi tu. Nimepita kariakoo kununua kuku wa kienyeji 5 kila mmoja 30,000. Wamechinjwa na nikaomba wanyonyolewe. Ndo jamaa wanamalizia kunyonyoa muda huu niondoke.

Angalau huku Kariakoo kuku bei rahisi Kuna sehemu Mikocheni wanatuuzia tsh 40,000. Na kuku wenyewe wadogo.

Anyway natafuta mtu anayejua kuchoma vizuri kuku Jumamosi ntakaribisha jamaa zangu wazungu waje kula kuku choma na mbuzi choma.

Mbuzi kama kuna mtu anao wawili walioshiba tuwasiliane maana nimeambiwa bei ya mbuzi mmoja tsh 120,000 nataka wawili. Tuwasiliane wadau.
umetoka lini Kamachumu au Katoma? #realbwenga
 
Back
Top Bottom