Kitendo hiki cha Kinana ni unyanyasaji na udhalilishaji wa askari wetu!

mpk

JF-Expert Member
Sep 26, 2012
3,115
3,862
11406963_1248732645141151_6257641485688612355_n.png


Katika kujionyesha ni mtu wa chini Kinana amekuwa akifanya vituko vingi, mara akamue maziwa, mara apandea kijiko au baiskeli. Lakini hii sasa ni udhalilishaji wa askari wetu, kama anapenda kupanda pikipiki kwa nini asipande boda boda? Kwa nini hakupanda pikipiki za chama zilizo kila wilaya? Askari huyu alimwendesha kwa kupenda? Kama hakuwa amependa aliamrishwa na nani?
 
Kinana anapenda kufanya mambo ya kusadikika mithili ya mganga wa kienyeji......anafanya siasa za kujifanya....its partial objective....!!!
 
Nchi ya ajabu sana hii..........najihurumia mno kuwa mTanzania.........
 
Mimi ndio maana hua nasema sio Mtanzania sababu ya mambo kama haya na mengineyo.
 
Kinana apo anawaza tembo tu.hana uchungu na hii nch ye ni msomali hata tembo wetu wakiisha lenyewe halina hasara
 
Ningemuona wa maana huyo askari angejikamata mwenyewe kisa abiria wake kinana hajavaa helmet kama wanavyofanya kwa vijana wetu wa bodaboda kila siku.
 
Back
Top Bottom