Tuliwaambia ccm kuzuia mikutano ya siasa ni kitanzi kwenu awakusikia, tuliwaambia msizuie wapinzani kuongea waacheni waongee ili ukifika mda wa kampeni wasiwe na mapya ya kuongea awakusikia, Leo ccm wanakula mashambulizi makali kila Kona awajajibu hili ili linafata cheki ishu ya vitambulisho vya machinga, ishu ya cheti Cha kuzaliwa Cha mgombea wao, uporwaji wa ardhi karagwe hawana majibu, hoja ya ndege imebuma. Wamebakia kucheza singeli tu majukwaani.