Kitendo Cha Rev. Mtikila Kugomea Arrest!, Kinastahili Pongezi!. Watanzania Sasa Tugomee...!

na 35, Sheria ya Kanuni ya
Adhabu)
kusikilizwa.
294 (1) Kuvunja nyumba
mchana
Anaweza kukamata
bila hati. .
Kifungo cha miaka kumi
na nne.
Mahaka ya chini.
(2) Kuvunja nyumba
usiku.
Anaweza kukamata
bila hati.
Kifungo cha miaka
ishirini.
Mahakama ya chini
295 ... Kuingia Nyumba ya
kuishi kwa nia ya
kutenda kosa.
Anaweza kukamata
bila hati.
Kifungo cha miaka kumi. Mahakama ya chini
295 ... Iwapo kosa
limetendeka usiku.
Anaweza kukamata
bila hati..
Kifungo cha miaka kumi
na nne.
Mahakama ya chini
296 ... Kuvunja nyumba na
kuingia na kutenda
kosa .
Anaweza kukamata
bila hati.
Kifungo cha miaka kumi. Mahakama ya chini.
297 ... Kuvunja nyumba na
kuingia kwa nia ya
kutenda kosa.
Anaweza kukamata
bila hati.
Kifungo cha miaka
mitano.
Mahakama ya chini
298 ... Kukutwa na silaha,
n.k., kwa nia ya
kutenda kosa.
Anaweza kukamata
bila hati.
Kifungo cha miaka
mitano.
Mahakama ya chini
298 ... Iwapo mkosaji
aliwahi kutiwa hatiani
kwa kosa
linalohusiana na mali.
Anaweza kukamata
bila hati.
Kifungo cha miaka kumi
na nne.
Mahakama ya chini
299 ... Jinai ya kuingia bila
idhini
Anaweza kukamata
bila hati.
Kifungo cha miezi mitatu. Mahakama ya chini
299 ... Iwapo mali ambayo
kosa lilitendeka ni
jengo linalotumika
kama makazi ya watu
au sehemu ya ibada
au kama sehemu ya
kutunzia mali.
Anaweza kukamata
bila hati.
Kifungo cha mwaka
mmoja.
Mahakama ya chini
SURA YA THELATHINI NA MOJA. – UDANGANYIFU
1 2 3 4 5
Kifungu Kosa Kama afisa wa
polisi anaweza
kukama bila hati au
hawezi.
Adhabu chini ya Sheria
ya kanuni ya Adhabu,
(N.B. Kupitia. Vilevile
vifungu 27 na 35, Sheria
ya Kanuni ya Adhabu)
Mahakama (kuongezea kwenye
Mahakama Kuu) ambayo kosa
linaweza kusikilizwa.
302 ... Kupata mali kwa njia
ya udanganyifu
Anaweza
kukamata bila hati.
Kifungo cha miaka saba. Mahakama ya chini.
303 ... Kupata dhamana ya
utekelezaji kwa njia
ya udanganyifu.
Anaweza
kukamata bila hati.
Kifungo cha miaka saba Mahakama ya chini
304 ... Kudanganya. Anaweza
kukamata bila hati.
Kifungo cha miaka
mitatu.
Mahakama ya chini.
305 ... Kupata mkopo,n.k.,
kwa njia ya
Anaweza
kukamata bila hati.
Kifungo cha
 
Nini tofauti ya Search Warrant na Arrest Warrant. Na inatolewa na nani na katika mazingira gani???

serach ni kusaka/kupekua wakati arrest ni kukamata/kuweka chini ya ulinzi wa...

Polisi na mahakama wana nguvu ya kisheria ya kutoa vitu hivyo.
 
Back
Top Bottom