Kitendo cha Muungwana kumuangukia bos wake mkuu Bw Rostam ni Unafiki au dhahiri?

Yericko Nyerere

JF-Expert Member
Dec 22, 2010
16,977
20,244
Katika gazeti makini la Mwanahalisi toleo la leo 27/7/2011 kuna habari iliyo jaa ukura wa mbele inasomeka "JK amuangukia Rostam Azizi"

Mwandishi wa habari hii ni mpiganaji mahiri tz ndugu Said Kubenea.

Nimeisoma na kuitafakari kwa kina habari hii nikapata mitazamo ya aina mbili inayohitaji kupembuliwa kwa akili ya kimang'amuzi!

Je hii inatoka moyoni mwake au ni unafiki?
 
Nukuu reasons za muhariri ku-conclude kuwa JK amemwangukia RA ili tuanze kujadiri hilo kwanza, otherwise tutanza kujadiri hoja na mawazo binafsi ya muhariri-hatupaswi kufanya hivyo.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom