MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,011
- 16,748
Ni lini labda wana Yanga SC wamewahi kuwa na Akili timamu Ndugu?View attachment 1916399
Hili jambo halikubaliki na likemewe kwa nguvu zote na TFF na mamlaka zingine , michezo ndio eneo pekee linalokutanisha wananchi wote na wenye itikadi tofauti , kuingiza siasa za ccm ni kuleta mkanganyiko wa kijinga sana .
Wako wana Yanga kibao ambao si wanaccm , siku wakiamua kupeperusha hewani picha za Wenyeviti wa vyama vyao itakuwaje ?
Jifunzeni kutoingiza siasa kwenye michezo , vinginevyo na sisi tukileta picha za viongozi wetu ambazo zinapendeza kuliko hiyo yenu , msije kuturushia mabomu , kwanza ni ushamba wa kiwango cha kutisha sana !
Naomba kuwasilisha .