Kitendo cha Mama Samia kumtembelea Lissu ni aibu kwa Wabunge wa Singida kupitia CCM mlioshindwa kuenda

Bata batani

JF-Expert Member
Nov 11, 2011
3,182
3,547
Kabla ya yote napenda kumpongeza mama Samia Suluhu. Kwa moyo wa kwenda kumtembelea Lissu akiwa hospitali

Lakini hii ni aibu kubwa kwa wabunge wa Singida ambao mmeshidwa kwenda kumtembelea ndugu yenu Lissu mnywiramba mwenzenu. Kitu nilichotegemea wabunge kama akina Mwigulu, Juma Mkamia na wengineo mngefika hospitali lakini kinachonishangaza

Wengine ndio mmekwenda jimboni kwake kufanya siasa na kuna Mbunge mmoja kujifanya anataka kubeba majukumu ya Lissu

Hili ni Pigo na aibu
 
Huyu bi mkubwa ni katiba tu ya chama ina mlinda automatically na sio yeye jmp aliye muweka hapo ni sheria za Muungano wetu na zanzibar tuu...otherwise asingekuwa na Guts za kwenda kumuona lissu hsptl no way
 
Wengine wengi wameshakwenda kumsabahi lakini hawakutaka kuitisha press co. kama wengi wenu mlivyofanya.
 
Hata Machadema wengi hawajaenda!
Halima Mdee, John Mnyika, Lijualikali, Mayor Jacob n.k
 
Aibu Kubwa Sna Ila C Wao Wanamwogopa Mzee Kipara,ajabu Zaidi Hata Balozi Pindi Chana Hajaenda Kumwona Nawakati Ni Mtoto Wa Singnda Mwenzao.Yule Mama Ndyo Alikuwa Anafaa Kuwa Rais Tumebugi Sna Kumpa Mzee Kipara
 
Kuna mwana Singida mwingine anaitwa Mkumbo (the Opportunist). Huyu ni wa hovyo kuliko uhovyo wenyewe.
 
Back
Top Bottom