TataMadiba
JF-Expert Member
- Feb 7, 2014
- 9,866
- 5,742
1. Rais Ametukanwa Mitandaoni, Ukawa Wakawadhamini Watusi hao wasifungwe wakiamini Rais atasema neno. Rais yuko busy na kushughulikia kero za wananchi
2. Wamesema Rais alikwenda Rwanda kujifunza Udikteta kutoka kwa rais Kagame wakitarajia atasema neno. Rais amewapuuza , yuko busy na Kupambana na mafisadi
3. Wabunge wa UKAWA wamegomea vikao vya Bunge kwa kisingizio cha demokrasia kuminywa huku wakiwa wamefunga midomo yao huku wakiwa na shauku ya kutaka kusikia rais anaema nini. Rais hana muda nao
4.Wamemdhihaki Rais kwa maneno kama DIKTETA UCHWARA na ujumbe kwenye Mabango wakiamini watamtoa NYOKA pangoni lakini wapi, hayo hayana nafasi kwenye kichwa cha rais, rais anaumiza kichwa namna ya kutafuta pesa kwa ajili ya madawa, elimu, kununua ndege , madawati, Ujenzi wa viwanda, flyover n.k
HAKIKA HATA KAMA NINGEKUWA MIMI KUPUUZWA NAMNA HII KUNGENIUMIZA SANA JAPO NAJUA WAZI RAIS YUKO SAHII. HAKUNA JINSI, LAZIMA RAIS AWE NA MSIMAMO HUO ILI NCHI ISONGE MBELE. WAZALENDO , WAFIA NCHI WOTE WATAMUUNGA MKONO RAIS. WABADHILIFU, MAFISADI, WAPENDA SIFA ZA KIJINGA WATAUNAGANA NA UKAWA. TUMEMPATA MTU, TUMEMPATA RAIS, TUMEMPATA MFIA NCHI TWENDE NAYE.