Mnamkera nani tuko.mile 1000 mbele na matokeo tutayatangaza hapa hapa. Mtakoma mwaka huu. Mtatapatapa mpka mkome. Tumewanyosha hasa chini ya Lissu.Suala ni Mipango yenu ya kibwege ya vurugu. Mmefeli mashoga tumebaki mababa yao. Wacha tuwakeree

Kura zote kwa Magufuli, ushindi kama kumsukuma mlevi, Lissu ni loser
Siwezi kuinyima kura CCM sababu ya mitandao
[/QUOTE]Pambaf kabisa !!!
QUOTE="GODZILLA, post: 37143863, member: 266148"]
Hili genge linaloongozwa na joni linadhani Tanzania ni milki binafsi.
Hili genge lipumzishwe lisituharibie nchi na future ya watoto wetu.
[/QUOTE]Utakuwa unawashwa ...
QUOTE="mr chopa, post: 37143974, member: 383440"]
Kura zote kwa magufuli, ushindi kama kumsukuma mlevi, lisu ni loser
Hama nchi.Nimekereka sana leo. Mambo gani haya karne hii?
Fungueni mitandaoKura zote kwa Magufuli, ushindi kama kumsukuma mlevi, Lissu ni loser
Yaani kwa kweli Robert Amstadam hapati tena ushahidi. Ni kupatwa kwa taifa
Tarehe 28 ni kesho, nenda kapige spana.
Kama kuna jambo la hovyo CCM na watu wao wameshauriana ni hili la kufungia mitandao ya kijamii, play store, (na app store)...
It won't happen kwa Tanzania - amini haitakuja itokeeApate ushahidi gani tena wakati kila kitu kipo wazi??? Mpaka UN wametoa tamko mbategemea nini???
Sasa hivi Ccm na Magufuli wajiandae tu. Milango ya ICC ipo wazi kuwapokea
Amani na usalama wa nchi ni muhimu zaidi kuliko hiyo mitandao,kikinuka hapatakuwa tena na hizo ngonjera zenu za kipuuzi,hata China hufanya hivyo kwa ajili ya usalama na amani ya nchi yao.Tarehe 28 ni kesho, nenda kapige spana.
Kama kuna jambo la hovyo CCM na watu wao wameshauriana ni hili la kufungia mitandao ya kijamii, play store, (na app store)...
Fanyeni kazi sio kushinda mitandaoni, kwani mitandao ndio inayopiga kura
Tujitokeze kwa wingi kwenda kupiga kura ,uboreshaji wa daftari la kupiga kura ilikuwa ni kwa wale waliohama vituo vya kura,kama haujahama kituo basi jina lako litakuwa kwenye kituo ulichojiandikisha 2015 ,Nenda kapige kura kwenye kituo ulichopiga 2015 kama haujaboresha taarifa zako mwaka huu.Tarehe 28 ni kesho, nenda kapige spana.
Kama kuna jambo la hovyo CCM na watu wao wameshauriana ni hili la kufungia mitandao ya kijamii, play store, (na app store).
Hivi kwa akili za kawaida unawezaje kufungia play store? Kwamba hata apps ambazo hazihusiani na twitter nazo tusi download?
Nawaasa watanzania watumiaji wa mitandao ya kijamii na play store kesho tuna jambo letu. Siku imekuwa yenye msongo sana na hatujui wataifungulia lini hawa wakoloni weusi. Kesho tukawakatae kwenye sanduku la kura.
Tunahitaji uhuru wa kujieleza, kupata na kupasha habari.
Huu utumwa hapana kwenye nchi yetu.
Humu ulimo post wewe ni mtandao wa nini? Ni wa familia yako.....?Tarehe 28 ni kesho, nenda kapige spana.
Kama kuna jambo la hovyo CCM na watu wao wameshauriana ni hili la kufungia mitandao ya kijamii, play store, (na app store).
Hivi kwa akili za kawaida unawezaje kufungia play store? Kwamba hata apps ambazo hazihusiani na twitter nazo tusi download?
Nawaasa watanzania watumiaji wa mitandao ya kijamii na play store kesho tuna jambo letu. Siku imekuwa yenye msongo sana na hatujui wataifungulia lini hawa wakoloni weusi. Kesho tukawakatae kwenye sanduku la kura.
Tunahitaji uhuru wa kujieleza, kupata na kupasha habari.
Huu utumwa hapana kwenye nchi yetu.
KiziboKura zote kwa Magufuli, ushindi kama kumsukuma mlevi, Lissu ni loser
Ha ha haaaaaaaaaHa ha ha ha ha ha kumbe TCRA wanatechnolojia ya kuzima twiter...
Sent from my Infinix X655 using JamiiForums mobile app
CCM bila uhuni hamna ushindi ili ata chipukizi anajua..Watz mnabidi mjue kua CCM kuachia madaraka ni ngumu kama yai kutaga kuku ,tutaishi je bila kodi zenu?hawa haja na kura yako kampe shoga mwenzio,wazalendo tunajambo letu.