Uchaguzi 2020 Kitendo cha kuzima mitandao ya kijamii kitawagharimu kura nyingi sana CCM

Tarehe 28 ni kesho, nenda kapige spana.

Kama kuna jambo la hovyo CCM na watu wao wameshauriana ni hili la kufungia mitandao ya kijamii, play store, (na app store).

Hivi kwa akili za kawaida unawezaje kufungia play store? Kwamba hata apps ambazo hazihusiani na twitter nazo tusi download?

Nawaasa watanzania watumiaji wa mitandao ya kijamii na play store kesho tuna jambo letu. Siku imekuwa yenye msongo sana na hatujui wataifungulia lini hawa wakoloni weusi. Kesho tukawakatae kwenye sanduku la kura.

Tunahitaji uhuru wa kujieleza, kupata na kupasha habari.

Huu utumwa hapana kwenye nchi yetu.
Siku imekuwa yenye msongo kwako
Wengine sie TUKO POA
Na tutamchagua Magu
 
Tarehe 28 ni kesho, nenda kapige spana.

Kama kuna jambo la hovyo CCM na watu wao wameshauriana ni hili la kufungia mitandao ya kijamii, play store, (na app store).

Hivi kwa akili za kawaida unawezaje kufungia play store? Kwamba hata apps ambazo hazihusiani na twitter nazo tusi download?

Nawaasa watanzania watumiaji wa mitandao ya kijamii na play store kesho tuna jambo letu. Siku imekuwa yenye msongo sana na hatujui wataifungulia lini hawa wakoloni weusi. Kesho tukawakatae kwenye sanduku la kura.

Tunahitaji uhuru wa kujieleza, kupata na kupasha habari.

Huu utumwa hapana kwenye nchi yetu.
Punguani kichwani. CCM itashinda kwa kishindo kikubwa,watanzania wazalendo tunakwenda na JPM mpaka 2025.
 
SISI KAZINI KWETU TOKA JANA HAKUNA INTERNET, KI UKWELI TUMEUMIA SANA...TUMESHINDWA KUTOA SALES INVOICES NA CASH SALES KWA SABABU YA KUKOSA INTERNET...ACHA KESHO NIKAPIGE KURA YANGU...HALAFU NISIKIE MTU ANAKUJA KUMTANGAZA MWINGINE AMBAYE HAJASHINDA...TUTAELEWANA AISEE...
Sales invoices na cash sales utatota ijumaaa
Subiri tukampitishe magu kwanza
Hilo ndii Jambo la myhimu kwa sasa
 
Tarehe 28 ni kesho, nenda kapige spana.

Kama kuna jambo la hovyo CCM na watu wao wameshauriana ni hili la kufungia mitandao ya kijamii, play store, (na app store)...
Tukisema magufuli hafai kuwa Raisi msidhani kuwa tuna chuki nae bali tunasema ukweli na tunamaanisha kweli. Huyu mtu ni kweli hafai kabisa sio tu kuwa Raisi bali hata diwani tu. Huyu mtu ni fedhuli na dikteta wa kiwango cha juu kabisa na hana ubinadamu kabisa.

Wito wangu kwa watanzania, Leo tu mmeona udhalimu wa huyu jamaa kwa kuzima mitandao, huu ni uthibitisho kuwa kesho tukapige kura kwa wingi na tuzilinde kura zetu kweli kuhakikisha huyu fedhuli harudi tena madarakani
 
Back
Top Bottom