Kitendo cha kumsuta mbunge nje ya bunge tafsiri yake

halafu kunasauti za wanawake wa magamba zilikuwa zikitoka pale daa!
Atoke huyooo, toa nje, hana adabu! Hawa wanawake wanu mnaowaokote bar huko na kuwapa ubunge ndo matatizo yake! Ndo maana magamba hayatakwisha!

Magamba wana ka upuuzi flani..wanawaza kwa matumbo..anyways..na wengi shule ndo hizo mpaka vasco da gama awabebe

Wanakatazwa kuwasha vipaza sauti
Kitendo cha kumsuta mbunge wa CCM ndugu Deo nje ya bunge, kwakweli sijui kinatufahamisha nini kuhusu waheshimiwa wabunge wetu.

Kwa ujumla haionekani kua ni professional bali ni sawa na kumvunjia heshima mtu na kumnyima uhuru wa kutoa maoni wakati akiwa bungeni. Kitendo kilichofanyika ni hatari na ni vyema kikakemewa no matter huyo mbunge alizungumza nini.

Kwanini kama mtu yoyote alikua na swali asiulize ndani ya bunge? Baada ya kutoka nje ya bunge sio professional kuanza kubishan nje ya bunge ambapo maoni yatakayotolewa pale after all hayatakua na maslahi yoyote na wananchi.

Ni vizuri kutofautisha kati ya vitendo vya mitaani na vitendo vya watu ambao wamepewa dhamana na wananchi kutetea maslahi yao.

Wamemuonea huruma kumsuta, wangemtandika mangumi na kumng'oa meno angalau mawili kilaza wa magamba yule. kwani amepelekwa bungeni kwenda kuzomea? mbwa kabisa huyu.

Mkuu umesalimika na ban kweli?maana umetema cheche kali.

Wamemuonea huruma kumsuta, wangemtandika mangumi na kumng'oa meno angalau mawili kilaza wa magamba yule. kwani amepelekwa bungeni kwenda kuzomea? mbwa kabisa huyu.
CDM damu utawajua tu kwa lugha za ushari na matusi

Huyu Deo si juzi tu jimboni kwake anawapigia watoto wadogo waliomtishia kumpiga mawe.? Sasa hapo alikuwa anawapa ushauri gani makamanda.

Deo ni natural mjivuni, kwapa,magumashi.....huyu alijiandaa sana kuupata uwaziri na mkakati alonao ni mchuchuma -liganga vimrejeshe mjengoni....
Filikunjombe atarudi bungeni bila hata ya liganga na mchuchuma. Tutampa. Singa singa Pindi Chana hamuwezi Deo.

Binafsi nilisikiitka sana kumwona Bw. deo akiingilia mambo yasiyo mhusu. Hivi huyu bw. ni nani pale bungeni? Ni kilanja au nani? Kama muwakilishi wa wilaya yenye matatizo mengi kama Ludewa Deo unalazimika uwe makini na ukifanye tulichokutuma. Ama sivyo 2015 huna chako, tutaandaa yale ya 2008 - 2010 kule ludewa.
kama vile ulimpa kura yako 2010!

Kitendo cha kumsuta mbunge wa CCM ndugu Deo nje ya bunge, kwakweli sijui kinatufahamisha nini kuhusu waheshimiwa wabunge wetu.

Kwa ujumla haionekani kua ni professional bali ni sawa na kumvunjia heshima mtu na kumnyima uhuru wa kutoa maoni wakati akiwa bungeni. Kitendo kilichofanyika ni hatari na ni vyema kikakemewa no matter huyo mbunge alizungumza nini.

Kwanini kama mtu yoyote alikua na swali asiulize ndani ya bunge? Baada ya kutoka nje ya bunge sio professional kuanza kubishan nje ya bunge ambapo maoni yatakayotolewa pale after all hayatakua na maslahi yoyote na wananchi.

Ni vizuri kutofautisha kati ya vitendo vya mitaani na vitendo vya watu ambao wamepewa dhamana na wananchi kutetea maslahi yao.

Huyu wamemsaidia sana,watu kama hawa unatakiwa wapigwe kwanza na sio kuwapa maneno....Huyu mbunge wa Ludewa ni mzembe kweli,kaacha majukumu ya jimbo lake analeta habari zake hapa,Ludewa ni kati ya majimbo yalichoka mpaka huruma sasa kwanini asichukue muda kuwatetea wananchi wake badala ya kufatilia mambo yasiyomuhusu?

Katika picha zote hii ndiyo imeniacha hoi. Ukiangalia body language ya jamaa ninacheka mpaka basi!!!!!!!

Picha+no.+1.jpg

Huyo Fili,,,......njombe jina kama mti shamba. Nampa langu Ndg Liganga kuanzia leo, anapenda vitisho na ngumi hajui! Huyo si MwanaCCM aende CHADEMA, CCM wastaarabu bwana.

Hapa ilitakiwa apewe kichapo tu na si vinginevyo. ndio maana hata leo walipotolewa kina Tundu Lisu sikusikia mbunge yoyote wa CCM kuzomea maana wanajuwa kichapo muda wowote kinawanukia kenge hawa.

08wenjepigo.jpg
daah namuona jembe Lema anamvutia hisia ...yani angeendelea tu angepigwa kichwa jiwe

Back
Top Bottom