Kitendo cha kumsuta mbunge nje ya bunge tafsiri yake

Kwa Watu waliolelewa maadili ya Kiuanaume au Kiumeni kamwe picha ya Deo sio tu hadhi yake ya Ubunge bali pia kwa hadhi yake kama Mwanaume ni aibu kwa Mwanaume Mzima lijari kusimama akilumbana na wakina Mama wengine ni hadhi ya Mama yake kama yule Mama Kaihula [Mbunge Viti Maalumu Chadema] aliyekuwa anamwambia akashughulikie matatizo ya Wananchi wake juu ya mradi wa makaa ya mawe na chuma Linganga na Mchuchuma ambako mpaka sasa hawana majibu ya tatizo hilo.Nimeona aibu mimi kama Mwanaume kuona Mwanaume Mwenzangu akipewa Ukweli kupitia mipasho ya kinamama kwa kutumia lugha ya Mwili ya wakina Mama wanyotumia wakiwa wanalumbana mitaani yaani kwa kiswahili KUSUTANA.

Wabunge aina ya Deo ndio hao ambao tuanasema CCM ilifanya makosa kuwapa dhamana ya kugombe ubunge kupitia tiketi ya CCM.Sijui ana elimu ya kiwango gani.Anajua dhahili kuwa wabunge wa Chadema walitoka nje wakiwa wametoka na ghadhabu kisha yeye pasipo fikra na busura anawafuta akiwa na ile ile akili ya VIONGOZI walio wengi ndani ya CHAMA CHA MAPINDUZI kuwa daima wao wako sahihi,na si vinginevyo na kuwaongezea kejeri za kuwatuhumu kuwa ni wakolofi na wasiofuata kanuni.

Ingekuwa imetokea mafichoni tungesema hatujui ila Watanzania wameona kupitia Luninga nini kimetokea.Kwa ujumla Deo alichofanya ni kuwazodoa [Provoke].Ni tendo lisilo la kiungwana tena limemzalilisha sana kwa watu waelevu [Intellectual] wamempimia kijiko na si koleo.
Hatimae tunamuona kwenye televisioni yuko na kinamama ambao ukiwangalia wanavyolumbana nae dhahili katika lugha ya mwili ya wakina Mama [Body language] unaona dhahili ni kama wakina mama wanavyosutana na Mwanamke Mwenzao mitaani kwetu.

CCM Jamani maadili yenu yanapolomoka kupitia viongozi wenu aina ya DEO ni picha chafu isiyopendeza kuiona kati ya kijana DEO mbunge wa Wananchi kupitiia tiketi ya CCM akilumbana na Wakina Mama.

Kisaikolojia picha ile ya DEO na Wakina Mama wale, Wanawake mitaani wanamuona DEO kama kiwakilishi cha Wanaume Waongo wanaosutana na wanawake.

Natoa challange kwa CCM,wachukue Picha zilizopigwa kati ya Deo na kinamama wazipeleke kufanya maojiano kupitia Picha zile [A Picture Speek athousands words] haswa wakina Mama waulizwe wanatafsiri nini kwenye picha hizo zilizombele yao.Majibu yatakayotoka hapo Ndio impact ya kuwa na viongozi type ya Deo ndani ya CCM na Serikalini.Wabunge wapenda vijembe,majungu na ujuaji usio na tija vilivyopelekea kuiponza CCM mpaka kufika hapo ilipo sasa ya KUCHOKWA NA BAADHI YA WANANCH.

Wabunge wa CCM wanaitaji mafunzo ya mahusiano [Public Relation] na miongozo mingine ya jamii kimahusiano juu ya muuonekano [Bahaviour].Na mafunzo hayo yasifanye na watu ndani ya CCM bali yafanywe na makampuni au taasisi zenye kujua mapokeo ya umma dhidi ya matendo ya kiongozi au mwakilisha wa wananchi mbele ya umma yasio ndani ya CCM.Kwa kuwa yanayoendelea ndani ya Watendaji wa CCM ni matokeo ya Mafunzo ya ndani kwa ndani.lakini wakifundishwa kutoka nje watajiona mapungufu yao na hivyo watajifunza kwa faida yao na faida ya CCM kama chama.

Mkuu hapa umepigilia msumari kwenye kidonda tena ule wa inch 6, Magamba yako wapi mbona hayajitokezi kwenye hili thread?
Ritz-Omr-Rejao-FF-
 
Huyu Deo akiwa kwao anawapigia magoti watoto wadogo kuwaomba radhi, akiwa mjengoni anajidai mjanja!

attachment.php
 
Na akome kabisa,mwaka huu atasutwa mpaka atie akili,aibu iliyoje kwa mkewe na watoto? maana front page za magazeti karibu yote picha ni yake kawekwa kati akizodolewa.Pengine atajifunza maana inaonekana umbeya ni hulka yake,mnakumbuka kipindi flani kwenye kamati ya zito,wanaongelea maswala mengine yeye kamrukia Mzee Mwanakijiji,sasa jana ilikuwa ni 40 yake,ningekuwepo pale ningemsokoa bichwa lake ili akome na tabia yake ya uongo.
 
Wabunge wa CCM sasa wamezidi toka ndani hadi nje jamani ? Utadhani wenzao si watanzania ? Kweli ukiwa mtoto wa fisadi hujui kama kuna changes hata kidogo
 
acheni ubaguzi nyinyi...yaani mwanamke akiingia bungeni kwa tiketi ya viti maalum tu basi 'anakuwa mwanamke wa bar' asiye na uwezo wowote!? Sikatai kuna wabunge wengine wa vitu maalum hawakustahili kuwepo bungeni (both kwa wanamagamba na wanamagwanda) lakni hawajatokea baa, na si kweli kuwa hawana uwezo kiasi cha kufananishwa na wahudumu wa bar au machangudoa wa jolly's!
hujui tu lakini nakuhakikishia vichche vinavyojua kujipendekeza na wanaokingiwa na wakuu wao (wakiume) ndo wanaoingia mjengoni, hakuna jingine na hao wanaokotwa tuuu! Kama unabisha muulize jk atakuambia ukweli.
 
huyu deo akiwa kwao anawapigia magoti watoto wadogo kuwaomba radhi, akiwa mjengoni anajidai mjanja!

attachment.php
ningejua ni huyu daa sorry bwana deo kumbe si kosa lako inawezekana nut imelegea kichwani mwako!
 
Hili ni Bunge au ni gulio sasa? Sijawahi kuona hali ya kukosa adabu na ustaarabu kama inavyojitokeza kwenye Bunge la sasa!

Bunge linapaswa kuwa "tukufu' sasa utukufu uko wapi? Speaker anaongea wabunge wanamjibu ovyo ovyo/! Waziri anaongea , wabunge wanambeza 'so what?"!
OMG! TUNAELEKEA WAPI ? HAMNA HATA HESHIMA TENA KWA MAMLAKA? Hata watoto wadogo wanashangazwa na vitendo hivi vya utovu wa nidham!

Kuna rafiki yangu yeye kanijibu kirahisi sana " hao wabunge waliingiaje bungeni? Kwani wame gate crush?'
 
Jana nilicheka mpaka basi kuna mmoja alikuwa anamchamba sio kumsuta. Vidole juu akaanza kusepa wakamsindikiza na maneno.
 
Acheni ubaguzi nyinyi...yaani mwanamke akiingia bungeni kwa tiketi ya viti maalum tu basi 'anakuwa mwanamke wa bar' asiye na uwezo wowote!? Sikatai kuna wabunge wengine wa vitu maalum hawakustahili kuwepo bungeni (both kwa wanaMagamba na wanaMagwanda) lakni hawajatokea baa, na si kweli kuwa hawana uwezo kiasi cha kufananishwa na wahudumu wa bar au machangudoa wa Jolly's!

mkuu fuatilia PROFILE nyingi za wabunge wa viti maalumu magamba uone km wengi hawajaokotwa jolly au maisha club. mf. vick kamata kaokotwa wapi?
 
Hili ni Bunge au ni gulio sasa? Sijawahi kuona hali ya kukosa adabu na ustaarabu kama inavyojitokeza kwenye Bunge la sasa!

Bunge linapaswa kuwa "tukufu' sasa utukufu uko wapi? Speaker anaongea wabunge wanamjibu ovyo ovyo/! Waziri anaongea , wabunge wanambeza 'so what?"!
OMG! TUNAELEKEA WAPI ? HAMNA HATA HESHIMA TENA KWA MAMLAKA? Hata watoto wadogo wanashangazwa na vitendo hivi vya utovu wa nidham!

Kuna rafiki yangu yeye kanijibu kirahisi sana " hao wabunge waliingiaje bungeni? Kwani wame gate crush?'

kama hawajiheshimu unadhani nani atawaheshimu? we husikii majibu yao yanavyokuwa ya dharau, kebehi na ubabe? dawa ya moto ni kuongeza petroli juu yake ila wewe ukae mbali.
 
Kitendo cha kumsuta mbunge wa CCM ndugu Deo nje ya bunge, kwakweli sijui kinatufahamisha nini kuhusu waheshimiwa wabunge wetu. Kwa ujumla haionekani kua ni professional bali ni sawa na kumvunjia heshima mtu na kumnyima uhuru wa kutoa maoni wakati akiwa bungeni. Kitendo kilichofanyika ni hatari na ni vyema kikakemewa no matter huyo mbunge alizungumza nini. Kwanini kama mtu yoyote alikua na swali asiulize ndani ya bunge? Baada ya kutoka nje ya bunge sio professional kuanza kubishan nje ya bunge ambapo maoni yatakayotolewa pale after all hayatakua na maslahi yoyote na wananchi. Ni vizuri kutofautisha kati ya vitendo vya mitaani na vitendo vya watu ambao wamepewa dhamana na wananchi kutetea maslahi yao.

Huyo hapo kijana ndo mbunge wako unayemtetea wakati akijaribu kuomba kura.... hakuna asiye jua kuwa alimuonga mbunge wa cdm ili asigombee achukue jimbo.... mcheki hapo chini mategemeo alikuwa hana kabisa.......
285206_2221165937235_1490282197_2459728_4956942_n.jpg
 
Kwa Watu waliolelewa maadili ya Kiuanaume au Kiumeni kamwe picha ya Deo sio tu hadhi yake ya Ubunge bali pia kwa hadhi yake kama Mwanaume ni aibu kwa Mwanaume Mzima lijari kusimama akilumbana na wakina Mama wengine ni hadhi ya Mama yake kama yule Mama Kaihula [Mbunge Viti Maalumu Chadema] aliyekuwa anamwambia akashughulikie matatizo ya Wananchi wake juu ya mradi wa makaa ya mawe na chuma Linganga na Mchuchuma ambako mpaka sasa hawana majibu ya tatizo hilo.Nimeona aibu mimi kama Mwanaume kuona Mwanaume Mwenzangu akipewa Ukweli kupitia mipasho ya kinamama kwa kutumia lugha ya Mwili ya wakina Mama wanyotumia wakiwa wanalumbana mitaani yaani kwa kiswahili KUSUTANA.

Wabunge aina ya Deo ndio hao ambao tuanasema CCM ilifanya makosa kuwapa dhamana ya kugombe ubunge kupitia tiketi ya CCM.Sijui ana elimu ya kiwango gani.Anajua dhahili kuwa wabunge wa Chadema walitoka nje wakiwa wametoka na ghadhabu kisha yeye pasipo fikra na busara anawafuata akiwa na ile ile akili ya VIONGOZI walio wengi ndani ya CHAMA CHA MAPINDUZI kuwa daima wao wako sahihi,na si vinginevyo na kuwaongezea kejeri za kuwatuhumu kuwa ni wakolofi na wasiofuata kanuni.

Ingekuwa imetokea mafichoni tungesema hatujui ila Watanzania wameona kupitia Luninga nini kimetokea.Kwa ujumla Deo alichofanya ni kuwazodoa [Provoke].Ni tendo lisilo la kiungwana tena limemzalilisha sana kwa watu waelevu [Intellectual] wamempimia kijiko na si koleo.
Hatimae tunamuona kwenye televisioni yuko na kinamama ambao ukiwangalia wanavyolumbana nae dhahili katika lugha ya mwili ya wakina Mama [Body language] unaona dhahili ni kama wakina mama wanavyosutana na Mwanamke Mwenzao mitaani kwetu.

CCM Jamani maadili yenu yanapolomoka kupitia viongozi wenu aina ya DEO ni picha chafu isiyopendeza kuiona kati ya kijana DEO mbunge wa Wananchi kupitiia tiketi ya CCM akilumbana na Wakina Mama.

Kisaikolojia picha ile ya DEO na Wakina Mama wale, Wanawake mitaani wanamuona DEO kama kiwakilishi cha Wanaume Waongo wanaosutana na wanawake.

Natoa challange kwa CCM,wachukue Picha zilizopigwa kati ya Deo na kinamama wazipeleke kufanya maojiano kupitia Picha zile [A Picture Speek athousands words] haswa wakina Mama waulizwe wanatafsiri nini kwenye picha hizo zilizombele yao.Majibu yatakayotoka hapo Ndio impact ya kuwa na viongozi type ya Deo ndani ya CCM na Serikalini.Wabunge wapenda vijembe,majungu na ujuaji usio na tija vilivyopelekea kuiponza CCM mpaka kufika hapo ilipo sasa ya KUCHOKWA NA BAADHI YA WANANCH.

Wabunge wa CCM wanaitaji mafunzo ya mahusiano [Public Relation] na miongozo mingine ya jamii kimahusiano juu ya muuonekano [Bahaviour].Na mafunzo hayo yasifanye na watu ndani ya CCM bali yafanywe na makampuni au taasisi zenye kujua mapokeo ya umma dhidi ya matendo ya kiongozi au mwakilisha wa wananchi mbele ya umma yasio ndani ya CCM.Kwa kuwa yanayoendelea ndani ya Watendaji wa CCM ni matokeo ya Mafunzo ya ndani kwa ndani.lakini wakifundishwa kutoka nje watajiona mapungufu yao na hivyo watajifunza kwa faida yao na faida ya CCM kama chama.

Kwa kweli Deo amejidhalilisha sana. kama alidhani anaweza pata cheap popularity sasa imekuwa haibu kubwa kwake. Kama kweli angekuwa mwanaume rijali yale maneno alitakiwa ayatoe ndani ya mjengo na siyo nje. Hiyo inaonyesha hana tofauti na wabunge wengi wa CCM.

Ila mkumbuke tabia za mbunge huwa zinakaribiana sana na wapiga kura wake. Changamoto alizopitia Wenje (Mwanza), Lema (Arusha), Mnyika (Ubungo) huwezi kulinganisha kabisa jimbo kama Ludewa ambako hata ukiweka shati au kivuli cha mtu wale jamaa watalipigia kura. Think big ukweli upo hapo.

Ludewa linaitwa jimbo kwa kuwa lina mwakilishi lakini kwa kweli mmh!!!!!!!
 
kitendo cha kumsuta mbunge wa ccm ndugu deo nje ya bunge, kwakweli sijui kinatufahamisha nini kuhusu waheshimiwa wabunge wetu. Kwa ujumla haionekani kua ni professional bali ni sawa na kumvunjia heshima mtu na kumnyima uhuru wa kutoa maoni wakati akiwa bungeni. Kitendo kilichofanyika ni hatari na ni vyema kikakemewa no matter huyo mbunge alizungumza nini. Kwanini kama mtu yoyote alikua na swali asiulize ndani ya bunge? Baada ya kutoka nje ya bunge sio professional kuanza kubishan nje ya bunge ambapo maoni yatakayotolewa pale after all hayatakua na maslahi yoyote na wananchi. Ni vizuri kutofautisha kati ya vitendo vya mitaani na vitendo vya watu ambao wamepewa dhamana na wananchi kutetea maslahi yao.

kazi ipooo
mbio za2015
 
Kitendo alicho kifanya Deo filikunjombe ni kujidhalilisha mwenyewe na aliyopata ndiyo staili ya mtu wa aina yake.
Deo kilimsibu nini kuwaacha wenzake wa magamba kule mjengoni na kuwafuata upinzani nje kama siyo kiherehere. Walitakiwa wamtafutie hata ka gauni wamvike kwani ule ni upashikuna na umbea kabisa kwani ni kweli hata yale maneno waliyomtupia hayakutosha
 
Hapa ilitakiwa apewe kichapo tu na si vinginevyo. ndio maana hata leo walipotolewa kina Tundu Lisu sikusikia mbunge yoyote wa CCM kuzomea maana wanajuwa kichapo muda wowote kinawanukia kenge hawa.

08wenjepigo.jpg
 
Back
Top Bottom