Kitendo cha kumpa Mbowe privilege kuwa hastahili kushtakiwa kwa ugaidi si sawa kisheria na ni kinyume na dhana ya "Equality before the law"

Hawatambui hilo Mkuu.

Wao ndo walitaka Makonda ashatakiwe, wakataka Ally Hapi naye ashtakiwe.
Why just kwa sababu wanawachukia.

Mwenyekiti wao wanamfanya untouchable wakati issue iko mahakamani. Wanakosea sana.

Wakishindwa au kuelemewa wanashambulia mahakimu na majaji, wakishinda kesi wanasifu na kutukuza mahakama.

Mahakama iko imara na ndio maana wanashinda kesi nyingi sana mabazo polisi wanawapelekea.

Kama Police wanawaonea wanaweza kuwafungulia mashataka pia.

..kama ccm ni untouchable basi chadema nao wawe untouchable.

..hii habari ya chadema kuhangaishwa na makesi kila kukicha huku ccm wakifanya wanavyotaka sio sahihi.
 
Nani hafuati maelekezo na makatazo ya vyombo vya dola na mamlaka husika
 
Hawatambui hilo Mkuu.

Wao ndo walitaka Makonda ashatakiwe, wakataka Ally Hapi naye ashtakiwe.
Why just kwa sababu wanawachukia.

Mwenyekiti wao wanamfanya untouchable wakati issue iko mahakamani. Wanakosea sana.

Wakishindwa au kuelemewa wanashambulia mahakimu na majaji, wakishinda kesi wanasifu na kutukuza mahakama.

Mahakama iko imara na ndio maana wanashinda kesi nyingi sana mabazo polisi wanawapelekea.

Kama Police wanawaonea wanaweza kuwafungulia mashataka pia.
makosa ya makonda huyajui? vipi ule ujambazi wa Clouds Media huo tuunatosha je mengine ambayo watu wamekaa kimya,na huwa nacheka sana nikikumbuka kupimana mkojo kuliishia wapi! hahahaha bongo bwana dah
 
Una uhakika?

Kwa nini Mawingu hawajafungua hiyokesi?
 
Sijaongelea Criminal Procedures mkuu.

Nimebaki na kesi Mahakamani. Sijataka kudeal na PGO walah!

Utaratibu kama haukufuatwa wakati wa ukamataji, ni "ni sehemu ya Reasonable Doubts" zitamsaidia yeye wakati wa utetezi.

Tumefika hapa wapi?.. Mtuhumiwa wa ugaidi anaweza kuwa yeyote yaani Kiongozi wa dini, Waziri, Mfanyabiashara, Mwanasiasa na yeyote yule. NO EXCUSES. Lakini je CDM mnapaswa kuipangia polisi nani wamtuhumu na nani wasimtuhumu?

Time of arrest nayo inaondoa Criminality ya Mbowe?. Kama inaondoa basi iende mahakamani mkuu.

Kupekuliwa upo sawa, wakikokosea kumpekua si ushahidi utakuwa batili, shida iko wap?

Nachopinga ni hizi Stunts na Mmemes za "SIYOGAIDI" na kuchorachora Mali za watu.

NI UTOTO, UJINGA NA UPUMBAVU
Si angalau angelikuwa ametenda hilo kosa !!

Mambo haya yakupotezeana malengo na muda si sawa. Hasa wanaokufanyizia ni wale unaowapinga kisiasa.

Wenye mamlaka wa ki Africa bure kabisa. Samia alipoingia madarakani aliamuru kesi zote walizobambikizwa watu kipindi cha Maghufuli zifutwe. Na kweli kesi zimefutwa nyingi kwa mdomo wake . Kumbe ni kwa sababu hayo yalifanyika kipindi cha Maghufuli. Alipoona anakabwa yeye kwenye utashi wake ndiyo haya yanayotokea leo.

Mbowe kabambikwa kesi si kwa sababu ametenda ugaidi. Bali ni kwa sababu amekaidi agizo la Rais la kuendelea kuhamashisha mjadala wa katiba mpya Rais akiwa hataki .

Katiba ya 1977 ni mbaya inamuumba mungumutu asiyehojiwa (rais).
 
Mkuu Subiri uamuzi Mahakama aisee
 
Back
Top Bottom