Kitendo cha kumlipia Mahari mwanamke kimepitwa na wakati.

Hayo ni yako mawazo.mbona huongelei gharama kubwa za harusi si ni bora vijana wangapewa hayo mamilioni waanze nazo maisha.? Mke ukioa unammiliki ndio maana unakuwa na haki naye"unataka kumiliki bila kutoa chochote.hatusemi tunanunua ila tunaonesha kujali familia iliyomzaa na kumlea.mtu ana hamia toka kwao anakuja kwenye familia yenu anazaa watoto uko wenu unaongezeka.Si jambo dogo.

Swala sio kumiliki bure,mbona hiyo shukuran ya kulea wasipewe wazazi wa kijan?
 
3.kufidia ghalama walizotumia
kmlea na kumsomesha pia

#####################

huwezi kufidia gharama nilizosomeshewa kwa pesa yako ya mahari
 
Back
Top Bottom