Kitendo cha kiongozi wa nchi kuzuiliwa kuingia Marekani kina athari gani? Ni adhabu?

Ndio hapo sasa, yaani US wanakaa wakifikiri kwamba kumzuia mtu kuja huku ni kumuadhibu, idiots!
Usichukulie hilo zuio juu juu.. Mpaka US wamefikia uamuzi huo kuna jambo kubwa la kidiplomasia limeshindikana, na pia mpaka hiyo taarifa imetoka CIA wana full evidence ya nini kinaendelea ktk serikali yetu. Aliyelengwa hapo sio makonda, hiyo ni signal kwa serikali kujipanga. Hili swala limetuchafua sana kama watanzania. Lets think outside the box
 
Mapema leo [kwa wengine tayari ishakuwa jana], wizara ya mambo ya nchi za nje ya Marekani imetangaza kuwazuia 'Gavana' wa jiji la Dar Es Salaam, Paul Makonda [au ukipenda Daudi Bashite] na mkewe, kwenda nchini humo.

Jambo la kwanza lililonijia kichwani ni swali. Je, hii ndo mara ya kwanza kwa kiongozi wa Tanzania kuwekewa kikwazo cha namna hiyo na Marekani?

Nimejaribu kufukunyua makabrasha ya kumbukumbu zangu kuona kama labda jambo kama hilo lishawahi kutokea huko nyuma lakini nimeishia patupu. Nisaidieni na nyie.

Yawezekana kabisa huyu 'Gavana' akawa ndo mtu wa kwanza katika historia ya taifa letu kuwekewa vikwazo na Marekani na yumkini mataifa mengine, hususan ya Ulaya Magharibi, yanayoweza kufuata mkondo huo pia.

Kama hii ndo mara kwanza basi Rais Magufuli itabidi ajifanyie tathmini kubwa sana. Kwa nini jambo kama hili litokee kwenye awamu ya utawala wake tu na siyo kwa awamu zilizopita?

Jingine lililonijia kichwani ni, je, kuzuiliwa kuingia Marekani ni adhabu? Kikubwa ambacho huyu 'Gavana' wetu atachokikosa huko Marekani ni kipi?

Pengine labda lengo la Marekani katika kufanya hivyo si kutoa adhabu. Labda lengo ni kutuma ujumbe kwa utawala wa Rais Magufuli kwamba jumuia ya kimataifa inaitazama Tanzania kama mwewe aliye angani [like a hawk in the sky]. Na isipojirekebisha, basi hatua kali zaidi zaweza kuchukuliwa.

Mimi sioni kama kumzuia asiingie nchini mwako kuwa ni adhabu. Mfano wakitangaza kuwa Rais Magufuli naye wamempiga marufuku kuingia Marekani.Hivi mnadhani Magu atajali? Mtu mwenyewe wala hapendi kusafiri. Si ajabu hata Marekani kwenyewe hajawahi kufika.

Nafahamu kuwa sehemu kubwa ya sera ya mambo ya nchi za nje ya Marekani inafuata kanuni ya kurudishiana matendo [reciprocity].

Mfano, kama sisi ndo tungekuwa wa kwanza kumpiga marufuku mmoja wa viongozi wao kuingia Tanzania, basi na wao wangerudisha tendo lililo sawa na hilo kwa mmoja wa viongozi wetu.

Sasa sisi sera yetu ikoje kwenye mambo kama hayo? Na huu umaskini wetu tuna ubavu wa kurudisha hilo tendo la wao kumpiga marufuku 'Gavana' wetu kukanyaga nchini mwao?

Kauli na matendo ya 'Gavana' Makonda yamelitia doa taifa. Mimi binafsi nimeshamsema sana humu.

Hakika Rais Magufuli ndiye wa kulaumiwa moja kwa moja bila kumung'unya maneno. Magufuli anawajibika moja kwa moja kwenye haya yaliyotokea.

Sasa hata kuwaambia watu kuwa natokea Tanzania, siwezi kusema kwa fahari. Nitakuwa najistukia stukia tu. Yote hayo kutokana na Makonda.

Lakini hakuna Makonda kuwa 'Gavana' wa Dar kama si Magufuli kumteua na kufumbia macho madhambi yake yote yaliyo dhahiri kama shahiri.

Rais Magufuli jiangalie.....msije anza kutafuta mchawi na kuanza kuwasingizia akina Tundu Lissu ilhali wewe mwenyewe umeteua watu wa hovyo hovyo na wengine unawafumbia macho madhambi yao.

Mi najitambulisha natoka Zanzibar, sasa nakupa ushauri, jitambulishe wewe ni mtanganyika. Tanzania ishakuwa soo
 
Wajinga wataanza kusema eti kwakuwa Bashite na John hawaendi Marikani hiyo haina shida. Ukweli hilo ni tangazo kwa dunia nzima kuwaTanganyika kuna walakini. Ni mbumbu tu ndio watakao puuza uamuzi huu. Bwana Masifuri kesha ipa doa nchi. Msemakweli mpenzi wa Mungu angalia mwanao anachoma moto nyumba wakati wewe, mama na watoto mmelala ndani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mapema leo [kwa wengine tayari ishakuwa jana], wizara ya mambo ya nchi za nje ya Marekani imetangaza kuwazuia 'Gavana' wa jiji la Dar Es Salaam, Paul Makonda [au ukipenda Daudi Bashite] na mkewe, kwenda nchini humo.

Jambo la kwanza lililonijia kichwani ni swali. Je, hii ndo mara ya kwanza kwa kiongozi wa Tanzania kuwekewa kikwazo cha namna hiyo na Marekani?

Nimejaribu kufukunyua makabrasha ya kumbukumbu zangu kuona kama labda jambo kama hilo lishawahi kutokea huko nyuma lakini nimeishia patupu. Nisaidieni na nyie.

Yawezekana kabisa huyu 'Gavana' akawa ndo mtu wa kwanza katika historia ya taifa letu kuwekewa vikwazo na Marekani na yumkini mataifa mengine, hususan ya Ulaya Magharibi, yanayoweza kufuata mkondo huo pia.

Kama hii ndo mara kwanza basi Rais Magufuli itabidi ajifanyie tathmini kubwa sana. Kwa nini jambo kama hili litokee kwenye awamu ya utawala wake tu na siyo kwa awamu zilizopita?

Jingine lililonijia kichwani ni, je, kuzuiliwa kuingia Marekani ni adhabu? Kikubwa ambacho huyu 'Gavana' wetu atachokikosa huko Marekani ni kipi?

Pengine labda lengo la Marekani katika kufanya hivyo si kutoa adhabu. Labda lengo ni kutuma ujumbe kwa utawala wa Rais Magufuli kwamba jumuia ya kimataifa inaitazama Tanzania kama mwewe aliye angani [like a hawk in the sky]. Na isipojirekebisha, basi hatua kali zaidi zaweza kuchukuliwa.

Mimi sioni kama kumzuia asiingie nchini mwako kuwa ni adhabu. Mfano wakitangaza kuwa Rais Magufuli naye wamempiga marufuku kuingia Marekani.Hivi mnadhani Magu atajali? Mtu mwenyewe wala hapendi kusafiri. Si ajabu hata Marekani kwenyewe hajawahi kufika.

Nafahamu kuwa sehemu kubwa ya sera ya mambo ya nchi za nje ya Marekani inafuata kanuni ya kurudishiana matendo [reciprocity].

Mfano, kama sisi ndo tungekuwa wa kwanza kumpiga marufuku mmoja wa viongozi wao kuingia Tanzania, basi na wao wangerudisha tendo lililo sawa na hilo kwa mmoja wa viongozi wetu.

Sasa sisi sera yetu ikoje kwenye mambo kama hayo? Na huu umaskini wetu tuna ubavu wa kurudisha hilo tendo la wao kumpiga marufuku 'Gavana' wetu kukanyaga nchini mwao?

Kauli na matendo ya 'Gavana' Makonda yamelitia doa taifa. Mimi binafsi nimeshamsema sana humu.

Hakika Rais Magufuli ndiye wa kulaumiwa moja kwa moja bila kumung'unya maneno. Magufuli anawajibika moja kwa moja kwenye haya yaliyotokea.

Sasa hata kuwaambia watu kuwa natokea Tanzania, siwezi kusema kwa fahari. Nitakuwa najistukia stukia tu. Yote hayo kutokana na Makonda.

Lakini hakuna Makonda kuwa 'Gavana' wa Dar kama si Magufuli kumteua na kufumbia macho madhambi yake yote yaliyo dhahiri kama shahiri.

Rais Magufuli jiangalie.....msije anza kutafuta mchawi na kuanza kuwasingizia akina Tundu Lissu ilhali wewe mwenyewe umeteua watu wa hovyo hovyo na wengine unawafumbia macho madhambi yao.

Many thanks
 
Useless ......JPM keep on going don’t look at your back

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Kuwekewa vikwazo ni fedheha. Kikubwa tunachoweza kufanya sisi ni kuishi na hawa watu vizuri. That's all we need!

Tanzania is bigger than Makonda au mwingine yeyote.

Wasiwasi wangu ni huu uchaguzi wa October. Hii kitu itatesa wengi. Tukifanya kama ile style yetu ya serikali za mitaa, wallah usishangae watu wengi walio karibu na uongozi wa Jiwe wakaumia. Yetu macho.
Tujisahihishe hatujachelewa.
 
ni big deal kwa sababu kiongozi wanchi husika anapofungiwa kuingia USA inachafua taswira ya nchi kimataifa kutokana na ushawishi ambao USA ambao anao duniani...pia nchi washirika wa USA wanaweza kuiga kufanya hivyo na hiyo itachangia kuzidi kuipaka matope tanzania.... nchi itapungikiwa ongezeko la watalii na investors wa kigeni.....je hauoni kuwa hilo ni tatizo ?
Kwani lazima waje Watalii wa Marekani?

Watakuja Wachina wakishapona corona.
 
Hivi na sisi tukitaka watoe ushahidi wa hizi tuhuma tunaweza kuwashtaki wapi?
 
Peleka ujinga mbali, maslahi gani Marekani anapata hapa nchini? Hivi mnatuona hamnazo sana? Nitajie mradi wowote unaondeshwa na US hapa nchini ambao unakwamwa kisa tumekataa ushoga. Huu mwenendo wa hii serekali ya Magufuli kumiliki kundi la watu wasiojulikana ni kwa ajili ya kupambana na ushoga? Ni mashoga wangapi wameuwawa au kufungwa na serikali hii? Chaguzi zetu kunajisiwa ni kwa ajili kuna mashoga hapa nchini? Vyama vya siasa kunyimwa haki yake ya kufanya siasa ni kwakuwa hivyo vyama vina mashoga? Msitake kujificha kwenye ushoga na raslimali, tatizo ni udictator wa Magufuli.

Hivi ni amani ipi huwa mnaizungumza, amani huletwa na kutenda haki, huwezi kuwakandamiza watu kwa kuwanyima uhuru wa kujieleza, uhuru wa kuchagua wamtakaye kisha ukasema una amani. Hofu sio amani. Na ni nani aliyekuambua amani maana yake ni ccm kukaa madarakani kimabavu? Tunaitaka Marekani ije hapa nchini isimamie uchaguzi na sisi wananchi tutaiunga mkono. Hatuko tayari kurudishwa kwenye mfumo wa chama kimoja kwa maamuzi ya Magufuli.
Mkuu Ubarikiwe fact uliyoandika asipoelewa mirembe kunamhusu.
 
Yaani hawa watetea ujinga huu wengi wao elimu hakuna badala hata ya kuuliza sababu ya kuzuiliwa ni nini? Wao wameshupaza shingo, iko hivi black and white "he is accused of denying the right of others to live" kaangalieni kwenye kamusi, na asipopigwa chini faster zinakuja hatua nyingine, acha hii tuliyo pewa wote ya ban of visa lottery!

mkuu ungewatafsiria kwanza hiyo sentensi ya kumdeny mtu kuish then uje useme neno visa lottery manake me najua wengi apa kwene visa lottery wamepoteana, alafu wanatetea ujinga wa mtu mmoja kisa ccm me watu wa siasa nawashangaaga sana si ccm wala chadema wanaupuuz fulan ivi wa kiwango cha lami, wanadhan kupigwa pin na marekani ni kupigwa ban jf 🤣🤣🤣.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Inaonekana ukizuiwa kuingia marekan ni adhabu kubwa Sana na kuna watu Wana akli timamu wanashangilia , hii nchi ina manyumbu Weng Sana , dunia ina nchi Zaid ya 250 Ila ukizuiwa kuingia marekan haa haaa haaa , sjui marekan ndo mbiguni
Unaelewa nini neno "kutuma ujumbe..' kama alivyosema mtoa post ....

Mwenye macho haambiwi tazama,....Salam hizi muhimu, kwa Pombe na sio kwa Bashite

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Makonda sio Kiongozi wa Kitaifa, ni wa Kimkoa

Hana Jukumu lolote la Kiuongozi la kumlazimisha kusafiri

Sent using Jamii Forums mobile app

Kimsingi target ni mteule wake. Huyo Bashite amekuwa kimbelembele ndani ya hii miaka mitano kuumiza, kuteka na hata kuua kwa backup ya kiongozi wake. Chaguzi nyingi zimeanajisiwa huku yeye akitamba na kuongea ubabe wote tena kwa baraka za kiongozi wake. Wananchi wengi wameumizwa na wengine kuingia hofu kutokana na ukandamizaji na uhayawani wa wazi unaofanywa na yeye mwenyewe, na maagizo ya mteule wake.

Hatimaye sasa wamarekani wameamua kuchukua hatua, kwa kuanzia wameanzia chini ila lengo hasa ni namba moja, na tutawaunga mkono kwa hatua zozote watakazochukua. Tunamuomba Zito akiwa huko aweke ushahidi wote wa unyama unaofanywa hapa nchini tayari kwa hatua stahiki.
 
Back
Top Bottom