Kitendo cha Jaji Mkuu kutambua nafasi ya Makamu wa Rais Bara kama Makamu wa Pili; Je, ni bahati mbaya ama?

MODS, FUTA UZI HUU, kuna thread nyingine iko humu toka Tuesday ilianzishwa na mandella

 
MODS, FUTA UZI HUU, kuna thread nyingine iko humu toka Tuesday ilianzishwa na mandella

 

Attachments

  • IMG_0716.MP4
    217.8 KB
RAIS AKITOKA VISIWANI MAKAMU ANATOKA BARA, RAIS AKITOKA BARA MAKAMU ANATOKA VISIWANI, ndivyo katiba isemavyo.
 
MODS, FUTA UZI HUU, kuna thread nyingine iko humu toka Tuesday ilianzishwa na mandella


Kwanini ufutwe mkuu?? Wacha tujadili tuelewe
 
Sikiliza ……

Nijuavyo mimi Makamu wa kwanza wa Rais ni Rais wa Zanzibar; na makamu wa pili wa Rais ni makamu wa Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania

Kuna marejeo mengi yanayoonyesha iko hivyo

Screenshot_20211021-065235.jpg
 
Makamu wa Rais wa Jamnhuri ya Muungano wa Tanzania ni mmoja tu, Soma kifungu cha 47 cha Katiba.
Nanukuu vifungu vidogo vya kwanza:
47.-(1) Kutakuwa na Makamu wa Rais ambaye atakuwa

ndiye Msaidizi Mkuu wa Rais kuhusu mambo yote ya Jamhuri ya

Muungano kwa jumla, na hususan-

(a) atamsaidia Rais katika kufuatilia utekelezaji wa siku

hata siku za Mambo ya Muungano;

(b) atafanya kazi zote atakazoagizwa na Rais;

(c) atafanya kazi zote za Rais kama Rais hayuko kazini

au yuko nje ya nchi.
(2) Bila ya kuathiri masharti ya ibara ya 37(5), Makamu wa

Rais atapatikana kwa kuchaguliwa katika uchaguzi ule ule kwa

pamoja na Rais, baada ya kupendekezwa na chama chake

wakati ule ule anapopendekezwa mgombea kiti cha Rais na

watapigiwa kura kwa pamoja. Mgombea kiti cha Rais

akichaguliwa basi na Mahakmu wa Rais atakuwa amechaguliwa
Ibara ya 47(b) naomba kuuliza je makamu wa rais anaweza kufanya uteuzi kwa kuzingatia hiyo ibara mfano anaweza kutengua uteuzi wa waziri na kuteua waziri mwingine na kumuapisha kwa kuzingatia hiyo ibara

Sent from my SM-G955F using JamiiForums mobile app
 
Hii imekaaje wadau, Naona Jaji Mkuu amerudia maraa nyingi sana kuitambua Nafasi ya Makamo wa Rais wa Tanzania Bara kama Makamo wa pili ilhali tuna Nafasi Moja tu ya Makamo wa Raisi kwa Bara , Je matukio haya ni ya bahati mbaya ama alikua anakusudia na kuna Jambo ndani yake ?

Tizama hii
View attachment 1980426

-------
Siku za mwanzo kabisa za utawala wa Mama Samia Dr. Mpango kupitia hotuba zake alijiaminisha Mh Raisi angetumia utaalamu na uzoevu wake maeneo ya Uchumi, masuala ya kodi, uzoevu wake wa kufanya kazi na mashirika kama world Bank kumsaidia. Hata hivyo, kazi inayoeleweka ya makamu wa Raisi pamoja na kumwalilisha raisi pale inapohitajika ni mambo ya mazingira na Masual ya Muungano. Kazi hizi mbili inaonekana makamu wa raisi kama vile anapwaya. Mheshimiwa Raisi amefanya kazi hizi hizi kama makamu wa Raisi
 
Ni sawa. Lakini mwenye nchi kutoka Zenjibay kaona iwe hivyo! Tatizo liko wapi? Mbona haukuitishwa uchaguzi mkuu baada ya rais kufia madarakani kama tulivyofundishwa kwenye somo la uraia mashule baada ya mfumo wa vyama vingi? Bwai bwai!
Hilo somo la uraia ulilofundishwa kutakuwa na uchaguzi baada ya Rais kufia madarakani ni la nchi gani!!?? Nna mashaka kama hata hiyo shule yenyewe ulienda, unajitia aibu.
ELIMU ELIMU ELIMU
 
Rais akitoka bara, makamu wa kwanza hutoka zenji na Kwa sasa ni dk Mwinyi

So mpango ni makamu wa Pili
Samia ametoja Bara!!!??? Masikini nchi yangu imebeba mzigo mkubwa. Kama tuna aina hii ya watu basi acha tu mama akusanye kodi ajenge madarasa na madawati. ELIMU ELIMU ELIMU
 
Hivi issue ya Msumbiji, Hussein Mwinyi alikua anaenda kama nani?

Anahusika vipi na bara? Au alienda kama mmoja wa member wa Baraza la mawaziri?
Alienda kumjwakilisha Rais kama ambavyo JPM alivyowahi kumteua JK akamuwakilishe
 
Wenye kumbukumbu ya waliokuwa wagombea wenza wa Rais Nyerere, Mwinyi, Mkapa na Kikwete watupe majina yao pia na vyama vyote vilivyokuwa na wagombea urais, katiba ya nchi haiendeshwi na katiba ya CCM.
 
Back
Top Bottom