Nyerererist
JF-Expert Member
- Oct 1, 2007
- 438
- 6
Kila mmoja anahaki ya kutoa maoni na kila mmoja ni vizuri akayaheshim maoni ya wengine. kwa kifupi Rorya ninayoijua mie iko kama ifuatavyo kama ntakosea mtanisahihisha
(1) More than 50% ni wajaluo katika wilaya nzima ya Rorya na the remainder ni sisi vikabila vidogovidogo.
(2) Wajaluo ndio wamesoma zaidi ya vikabila vidogovidogo
(3) Wajaluo ndio wanaoleta migogoro yote hiyo kwa sababu kila ukoo wa kijaluo lazima una matajiri wachache ambao wanakua na influence kwa wajaluo wenzao.
(4) Wajaluo ndio wanaongoza kwa kukaa vijiweni na kupiga majungu kama haya na mwisho wake hayana impact yoyote katika maendeleo ya Rorya.
Kwa kifupi hata huyu mtoa hoja kwa jinsi alivyo present anaonekana maelezo yote kayatoa vijiweni huko Ujaluoni na kakimbia faster nae akajua amepata skendo ya kuleta JF baada ya chati ya JF kupanda ghafla.
Pili huyu mtoa maada ni walewale wanaogombania masrahi yao binafsi (wajaluo) na sio masirahi ya wote.
Hapa sina maana nawachukia wajaluo ila maana yangu kuna wajaluo wachache wenye miji hela wanataka kutugawa wana Rorya bila kuangalia mbele nini kitatokea (NGUMI).
Cha msingi jamani tuongelee mambo yenye tija kuhusu Rorya kama na sisi tunaopata mwanya wa kutokea hapa JF tunakua na mitazamo ya vijiweni (bila evidence) hatutayaondoa matatizo ya Rorya na tutabaki kua waongeaji na vurugu hadi kiama.
Ni mtazamo tu