Kitendawili cha kuharibika kwa mimba! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kitendawili cha kuharibika kwa mimba!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by vukani, Oct 24, 2011.

 1. vukani

  vukani JF-Expert Member

  #1
  Oct 24, 2011
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 245
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Hebu jiulize, kwa nini mimba huwa zinaharibika? Unaweza kukadiria, kwa siku moja ni mimba ngapi huwa zinaharibika? Ukienda kumuuliza mtaalamu yoyote wa tiba, atakutajia sababu nyingi sana zinazopelekea mimba kuharibika ikiwemo ile ya mimba kuharibika yenyewe au kuharibiwa kwa makusudi. Lakini bado jibu halijajibiwa, kwa nini iharibike yenyewe au iharibiwe? Je kuharibu (kutoa) mimba kuna ubaya gani? Huo ubaya unaouona wewe, unafikiri huyo anayetoa hiyo mimba anauona pia? Kama hauoni kwa nini?.

  Je ni kweli kilicho kibaya/kizuri kwako na kwa wengine kiko hivyo? Kwa nini?. Jiulize tena. Hivi kama kusingekuwa na kuharibika au kuharibiwa kwa mimba dunia ingekuwaje? Bila shaka ingekuwa imemalizika kutokana na wingi wa watu. Nasema hivyo kwa sababu, ukiangalia idadi ya mimba zinazoharibika na zinazoharibiwa kwa siku moja zinaweza kuwa sawa au ni nyingi kuliko idadi ya watoto wanaozaliwa kwa siku moja.


  Lakini si mimba zote zinaweza kuharibika au kuharibiwa, kuna zingine huharibika kirahisi sana hata kama mwenye nayo ataitunza kama yai, kuna zingine huharibiwa kirahisi sana hata kwa kunywa dose ya kawaida ya dawa au kwa kufanya kazi nzito kidogo, unafikiri ni kwa nini? Mfano; mama anaweza akawa anafanya kazi nzito kila siku, akanywa dawa za kila aina au akatumia kila njia kuharibu mimba aliyonayo ikiwemo ile ya kwenda kwa madaktari lakini mimba isiharibike, unafikiri ni kwa nini?

   
 2. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #2
  Oct 24, 2011
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,747
  Likes Received: 1,092
  Trophy Points: 280
  Vukani, mbona maswali magumu haya.................hivi leo umewaza nini?
   
 3. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #3
  Oct 24, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  narudi naenda kumuita dr.liwa
   
 4. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #4
  Oct 24, 2011
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,747
  Likes Received: 1,092
  Trophy Points: 280
  Hivi ni Dr. Liwa au Dr. Riwa?
   
 5. feis buku

  feis buku JF-Expert Member

  #5
  Oct 24, 2011
  Joined: Aug 29, 2011
  Messages: 2,371
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  ngoja anakuja utamuuliza!
   
 6. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #6
  Oct 24, 2011
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 28,205
  Likes Received: 3,137
  Trophy Points: 280
  yashamkuta huyo anajutia kiumbe chake miaka hiyoo .....
  anyway bibie kuna mambo mengi yanachangia kuharibika kwa mimba
  1.KUTOA MIMBA OVYO
  Hili ni wachache wenye ufahamu sana na baya zaidi hupelekea kutopata kabisa mtoto huko mbele ya safari ;Utoaji wa mimba imekuwa tatizo sana hasa kwa mabinti wanaokuwa hivi leo..hili la kutoa mimba mara kwa mara hupelekea kulegeza kizazi na hivyo kukuhatarisha hata kupata watoto na hata wakizama ndani kuweza kukaa miezi tisa ni ngumuu kutokana na kizazi kutamani kushusha zigo tena lingine kumbe hilo umeamua kukaa nalo kimoja
  2.UZEMBE
  Kuna wanwake wengi wanaua watoto wao kutokana na uzembe wao..wapo wanaojua muda fulani wanakaribia kuzaa lakini
  wanashindwa kujiandaa ama kuwa karibu na mazingira ambayo ikitokea uchungu wanwaweza pata msaada wa haraka
  na hili hupelekea watoto kunywa maji maana mpaka inapopasuka ile chupa yao na ufike hospital shuguli mtoto anakuwa
  amekula udirinki mbaya hivyo ukitoa mtoto wachache wanaopumua hapao hapo baada ya dk kadhaa ni marehemu

  3.KIZAZI KULEGEA
  Hili linatesa wengi sana sana maana hata madk wamekuwa wkaila hela sana bila maffanikio ..kizazi kinaposhuka ainakuwa
  ngumu kidogo kuhold mtoto wacha hiyo kwa nza wnye shida kama hii hata kupata mtoto inawasumbua sana sana...na
  Hili ni muhimu once unapojua una tatizo jitahdi uwahi kwa dk kupata msaada..hili huchangia mimba kuharibika na hivyo
  kuleta upungufu wa idadi ya watu duniani

  4.KUMWAGA MBEGU OVYO KWENYE MALAILON(CONDOM)
  Hili linachangia sana sana kuharibu watoto ..kwa bahati mbaya hawa unakuta awajaanza kuumbika lakini kama
  wangeingizwa kwenye uke wa mwanamke uwezekano wa kuwa watoto ni mkubwa sana ..kwa bahati mbaya watoto
  hawa wanauwawa kwa kutumia malailoni ya wazungu ambayo wameifanya kama sehemu y kumwagia mbegu
  Kama wanawake wengi wangeachana na matumizi ya Kondom naamini watoto wengi wanaouhifadhiwa kwenye
  yale ma plastic hakika wangetupeleka mbali sana ..hili si upande wa mwanamke tu bali na mwanaume ambae ndie
  anashauriwa na mwanamke kumwaga hizo mbegukwenye mifuko yao.......nahisi hili nalo ni muhimu kuliangalia
   
 7. Meritta

  Meritta JF-Expert Member

  #7
  Oct 24, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 1,304
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  pdidy kamaliza
   
 8. meningitis

  meningitis JF-Expert Member

  #8
  Oct 24, 2011
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 7,496
  Likes Received: 353
  Trophy Points: 180
  kwa nini mwanadamu anakufa?
   
 9. vukani

  vukani JF-Expert Member

  #9
  Oct 24, 2011
  Joined: Dec 30, 2009
  Messages: 245
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Kwa nini binadamu anaishi?
   
Loading...