Herbalist Dr MziziMkavu JF-Expert Member Feb 3, 2009 42,299 33,080 Jun 14, 2013 #1 Jamani inaitwaje hii kitu? Mkuu Boflo? Na kwanini imeitwa hilo jina la mnyama? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
TUKUTUKU JF-Expert Member Sep 14, 2010 11,765 4,033 Jun 14, 2013 #2 Inaitwa Mbuzi mkuu!kwa sababu inachakata nazi kama mbuzi anavyochakata majani!
grafani11 JF-Expert Member May 24, 2011 15,442 5,807 Jun 14, 2013 #4 Kumbe unafahamu jina lake linafanana na la mnyama mbona hukulitaja?