Kitchen Party- Part 2 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kitchen Party- Part 2

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by MwanajamiiOne, Dec 15, 2009.

 1. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #1
  Dec 15, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145  Wandugu habari


  Najua VC alishawahi kulileta hili hapa ila naomba tuliangalie kwa jicho lingine!!

  Nimelikuta kwenye mjadala mmoja huko

  ........eti kwenye kitcheni parties mwanamwali hufunzwa jinsi ya kumtunza mume na ndoa yake. Among things ambazo hufundishwa ni eti anatakiwa ampikie, amfulie, amuogeshe, hata akikosea ye aombe msamaha, ampigie magoti,akitupa soxy sebuleni au meza ya kulia yeye aokote tu akafue,akilala sebuleni amuache tu ila yeye kama mke bora kuhama chumba ni MWIKO hata kama ameudhiwa kiasi gani,akirudi saa tisa usiku asimuulize kitu,ampakulie,amuogeshe,na ampe sex at any time T anapotaka mume na sio akitaka yeye mke,asimbishie,akikuta sms za wanawake, akae kimya AVUMILIA TU ndio ukubwa ndio ndoa, akikuta condom kwenye mifuko ya suruali akae kimya na kama imemuuma sana basi asubiri mr akienda kazini asubuhi alia weeee ili akirudi awe ameshakuwa ok and normal,haya tena azoee kummbembeleza tuu na mengi tu yafananayo na hayo.

  Wengine wanaambiwa eti wanawake wanaojifanya wajanja wote wako mtaani na talaka zao ila wale wajinga na wanaokubali kuwanyenyekea waume zao ndo wako ndani ya ndoa wanadunda..kwamba ukipigwa futa machozi cheka baadae ongea na mumeo kitandani..na kadhalika..sijui mume akija na rafiki zake akaamua kukuchamba bila sababu kaa kimya wakiondoka bana sauti muulize na mnyuke kwa kufanya naye (best performance)!!...

  Kama ni kweli yanafundishwa haya kwenye vicheni pati basi ningekuwa mwanaume ningeziunga mkono.
   
 2. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #2
  Dec 15, 2009
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Vp kwani we hujawai kuhudhuria KP hata moja?
   
 3. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #3
  Dec 15, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Nilishawahi zamani hizo hiyo moja ambayo karibu shughuli nzima ilikuwa ni neno la MUNGU, ikiongezewa na mada za uchumi na upendo kwa ujumla. Hayo ya namna ya kumtunza /handle mume hayakuwepo
   
 4. Kimey

  Kimey JF-Expert Member

  #4
  Dec 15, 2009
  Joined: Mar 25, 2009
  Messages: 4,119
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  So ukiona ivyo hakuna haja ya kulaumu KP ni jinsi mdada anapenda iwe vp!! kama anataka ishu za kiswazi atapewa! kama anataka za kikanisa atapewa ni maamuzi yako!
   
 5. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #5
  Dec 15, 2009
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,860
  Likes Received: 23,488
  Trophy Points: 280
  Ila kwakuwa wewe ni mwanamke unayapinga? Kwanini?
   
 6. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #6
  Dec 15, 2009
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Kwa hiyo wewe hupingi kwa vile ni mwanamke?? sijui nichangie vipi mada yako.
   
 7. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #7
  Dec 15, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Nilivyosema ningekuwa mimi ni mwanaume ningeunga mkono kwa sababu wanaume wengi wanapinga na hawafurahii wake zao wanapokwenda kwenye vitchen party- wazo langu ni kuwa kama ni kweli haya yanafundishwa huko si ningeunga mkono ili tu wife ahudhurie nyingi aongeze ujuzi lol
   
 8. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #8
  Dec 15, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  X-pin sijasema mimi napinga wala naunga mkono. Kwa sababu nionavyo kama ni kweli haya yanafundishwa huko basi ningekuwa mwanaume ningekuwa nafaidi hence niziunge mkono!! Lol
   
 9. Sipo

  Sipo JF-Expert Member

  #9
  Dec 15, 2009
  Joined: Jul 25, 2008
  Messages: 2,146
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Hivi at the age of 28 or 30 huyu mwanamke anafundishwa nini? MJ1 mada yako ni nzuri lakini mimi ni mmoja kati ya vijana wasiounga mkono KP.
   
 10. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #10
  Dec 15, 2009
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,841
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  over my dead body! who told them women cease to be normal human beings once they get married? in that case i will gladly take my talaka and enjoy my life as a divorcee.
   
 11. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #11
  Dec 15, 2009
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,365
  Likes Received: 7,000
  Trophy Points: 280
  ndugu yangu Cpo, haya mambo hayaishi, kuna mtu anakuwa mpaka na 50yrz lakini majambo hayajuhi
   
 12. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #12
  Dec 15, 2009
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Usijali mdogo wangu, siyo wewe peke yako uliyepatwa na kichefuchefu.

  Mimi ni mwanamume (a real husband and a dad), sihitaji mwanamke aliyefundishwa na kutekeleza huo ujinga. Huyo ni kondoo tu na siwezi kuishi na kondoo. My wife is my sweetest friend and not my slave!
   
 13. carmel

  carmel JF-Expert Member

  #13
  Dec 15, 2009
  Joined: Aug 24, 2009
  Messages: 2,841
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Thanks Dark City. People real think women are as dumb and useless as pigs.
   
 14. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #14
  Dec 15, 2009
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Tunapinga kwa nguvu zote hakuna mafundisho wanayo pata kwa siku 1 ni kutupa pesa tu na umbea mwiiingi na majungu juu
   
 15. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #15
  Dec 15, 2009
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  wizi mtupu!! tena samtaimu hawa walimu wa kicheni pati wanakuwa ni mashoga. ndo maana hizi khabbar za tigo zinaongezeka kwenye ndoa.kama hedimaster wa kicheni pati ni toto si rizki wewe unategemea nini?. aaaargh! inakasirisha sana . acha nilogi auti sekunde kumi kupunguza munkari.
   
 16. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #16
  Dec 15, 2009
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  May be to others, but not my wife! She owns my heart and I hope I have a share of hers. I can't take her as a useless crap, never! She is my precious diamond!
   
 17. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #17
  Dec 15, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  You see my dada? yaani hapa ndo ninapochoka mie halafu ukinyanyaswa unaanza kulia oh mie nimemtekelezea kila kitu jamani ataachaje kukunyanyasa wakati we mwenyewe hujithamini? Mimi kama mwanamke nasema sometimes hizi kitchen parties ni kama njia mojawapo ambayo wanawake tunajikandamiza na kujitwisha udhaifu halafu bado tunalia na Beijing sijui womenm empowernment e.t.c. wakati kiini cha udhaifu huo ni sie wenyewe

  Ndo mana nikasema ningekuwa mwanaume annayependa kuabudiwa, kutumikiwa kama mfalme ningekuwa naombea kila siku kuwe na kitchen party ili wife akapate ujuzi mwingine......... na michango, sare ningeshona mwenyewe asipate tabu!!
   
 18. Nyamayao

  Nyamayao JF-Expert Member

  #18
  Dec 15, 2009
  Joined: Jan 22, 2009
  Messages: 6,980
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0

  oohh noo, chaa! jamani ndoa sio msalaba jamani.....
   
 19. C

  Caroline Danzi JF-Expert Member

  #19
  Dec 15, 2009
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 3,629
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  As a woman I advice you to read PPROVERB 31. umeshinda vishawishii vyote vya maisha. Ila hayo uliyoandika hayawezekani kabisaaaaaaa! kwa yeyote mwenye akili zake timamu. that will not be maariage its HELL.
   
 20. NGULI

  NGULI JF-Expert Member

  #20
  Dec 15, 2009
  Joined: Mar 31, 2008
  Messages: 4,812
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Umeifanya siku yangu tena, navyompenda mke wangu natamanigi nitangulie AHERA siku yangu ya kufa ikifika nikageuke malaika mlinzi niwe namlinda na kumpa furaha ya siku zake zilizobakia then siku yake ikifika naye aje tuwe kitu kimoja.
   
Loading...