Kitanda cha Mugabe!

Umejuaje mambo ya ndani namna hii?? Nani alikuingiza humo ndani mpk ukapiga na picha kabisa eeeh...???
 
attachment.php




Ki kwetu haya tunaita "Manyandekwaa"
 
ehh mbona kdh ivo kinamtosha kweli?
afu kimechakaaaaaa kibayaaaaa ....SIO CHA GHARAMA....hah haha haaaaaaaa..ahh ebu mie na telemka kaza yangu ila NALALA VYEMAAA USINGIZI WA AMANI PASIPO STRESS MAWAZO...full fofofoooo km mtoto mchanga!!!!!!
 
Unawezaje kuthibitisha kuwa hiki kitanda ndicho anacholalia Mugabe? Tupe picha hiyo ni kwa hisani ya nani?
 
acheni uongo, hicho ni kitanda cha Prince wa Saudi Arabia. Ningekuwa kwenye PC ningewatumia picha za crib yake.
Askari Kanzu amedanganya. Kama anadhani kaongea ukweli atupe source ya uhakika.
 
acheni uongo, hicho ni kitanda cha Prince wa Saudi Arabia. Ningekuwa kwenye PC ningewatumia picha za crib yake.
Askari Kanzu amedanganya. Kama anadhani kaongea ukweli atupe source ya uhakika.

Kweli ukweli wa picha hii watia shaka.propaganda tupu.
 
mi nadhani mtu ukishakuwa JF unakuwa na uwezo wa kutambua tofauti kati ya PROPAGANDA na ISSUES. Haya mamabo ya utajiri wa Mugabe ni propaganda chafu tu za akina Bush/Blair/Obama/Cameroun/Sarkozy pamoja na vikatuni wao. Achana nao.

Mtanzania shughulika na utajiri wa nchi yako!
 
Hangaiken na vyumba vya marais wa wenzenu wenu je mnajua chumba chake isije ikawa ni luxury zaidi ya cha mugabe..hawa ni walewale viongozi wa kiafirika na tamaa zao!
 
Back
Top Bottom